Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal inaongoza kutoka first leg.

Second leg Chelsea anaamua kupaki basi.

Wachambuzi wanakuambia Liam kamuweza Arteta.

Unagundua sasa hivi siyo uchizi ni chuki pia inachangia watu kuongea utumbo bila kuona aibu.
 
Wenyewe walikua wameridhika game ibaki suluhu. Ili waonekane wamepambana.

Punda kadhaa walikua wamejiandaa kuja kupiga kelele kwenye huu uzi.

Sasa hivi huwaoni wakikatiza.

Wanasubiri waje kushangilia suluhu.

Ukisema hii timu ina standards za juu kiasi kwamba hata kutoa suluhu ni dhambi wanakasirika.

Wazenge
 
Game ya kwanza ya Liam ilikua dhidi ya Arsenal kwenye Carabao akapanga kikosi cha kutaka kubishana akapasuka.

Mashabiki wakawa hawahesabu hii mechi wakidai alikua hajasettle vizuri so wao wanahesabu Liam hajapoteza kechi tangu afike.

Jana Liam akaamua apaki basi ili aendelee kusemwa hajapoteza kechi tangu afike.

Amepasuka. In less than three weeks Liam kafa mara mbili
 
Ile save ya kepa kabla ya kupiga mpira ulio enda kuzalisha goli ni 🔥 .

Hincapie ana jua kinyama, what a superb performance.

kepa is amazing.
FB_IMG_17701973253288476.jpg
 
Naiangalia Sunderland hapa itoshe kusema tusipobadilika hawa watatusumbua
Tusipo badilika na magoli yetu ya kihuni huni, open play iwe ndio plan A
Set pieces just incase plan A imekua ngumu

Nilikuambia mzee
 
Kinachowakumba Newcastle ni ambacho kingewakuta Chelsea mapema asubuhi kama wangejifanya wanataka kurudisha magoli.

Wakaamua kuchelewesha adhabu
 
Siku moja kabla ya game nilisema kabisa nina uhakika man utd hatafungwa na false hopers na nikasema tena kitakachotokea kwa arsenal players ni kutetemeka ovyo ndicho kilichotokea vile vile , arsenal anongoza mmoja lakini unaona players kupiga pasi hawawezi wanatetemeka na bado wanaongoza what if man utd ndo angekuwa anaongoza si ndo goli 8 zingejirudia 😆.

Nasema tena huwezi kushinda ligi kwa kumzonga kipa kwenye mipira ya kona ili ufunge.
NARUDIA TENA ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE MSIMU HUU!
Ngoja tukushangaze sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom