Thomas frank ana hasira na utaratibu wa bodi ya spurs, so hapa lazima akomae.Goli kama la Giroud
Newcastle walikaa zaidi miaka 50 ndo msimu Jana 2025 wamechukua major trophy moja, Carabao cupHuyu kenge Labyrinth 84 hata hawezi kumbuka ni lini mara ya mwisho Nyukesto waliwahi kuwa tittle contender achilia mbali kubeba ila utamkuta humu ameshupaza shingo kutwa kucha kuikandia Arsenal.
Pumbavu kabisa!
Hao ni plastic fans, the only thing they can do ni kuona mabaya ya Arsenal. Yani kufungwa na Manu plastic fans wamekuja na theories kama zote, we have the best defence., hata kama hatuna prolific striker mwenye 10+ goals.Manchester city have bottled a 2 goal lead against Spurs and no one is talking about it.
Laiti ingelikuwa ni Arsenal ndo imebottle mngemuona Labyrinth 84 na paragraph zake humu eti timu inayopigania taji haiwezi kuwa imeongoza bao 2 first half kisha ije itoe sare at full time.
Saivi yupo kimya anajifanya hajaona chochote kwa sababu ni Manchester city
Miaka 5 unaona michache sio? Tushabeba kombe tayari miaka ishafutika, Newcastle ya sasa ni ya matajiri tena mna bahati tu wameleta mambo ya PSR ingekuwa enzi zile wangemiminika vifaa vyakutoshaTuna miaka mitano tu hatujabeba kombe coz mara ya mwisho kubeba kombe ilikuwa 2020 ( FA cup)
Haya wewe sasa Nambie kabla ya kubeba carabao msimu Jana mlikuwa mmekaa miaka mingapi bila kuchukua kombe lolote.
Naomba unijibu tafadhali
sasa arsenal si tumezoea wazee wakuchoma mzee hatujazoea city kuchoma. Tunachojua mtachoma muda wowote ule ni suala la muda tu , pamoja na kuwalazimisha kuchukua ubingwa ila bado mtazingua .Manchester city have bottled a 2 goal lead against Spurs and no one is talking about it.
Laiti ingelikuwa ni Arsenal ndo imebottle mngemuona Labyrinth 84 na paragraph zake humu eti timu inayopigania taji haiwezi kuwa imeongoza bao 2 first half kisha ije itoe sare at full time.
Saivi yupo kimya anajifanya hajaona chochote kwa sababu ni Manchester city