Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila mtu atambe pande zake, arsenal tambeni kumfunga Chelsea, Na Chelsea tunatamba mafanikio baada ya kufungwa na Arsenal 😂
 
Chelsea inaongozwa.

Wamekaa wiki nzima wakisema wanakuja kuchukua ushindi.

Siku ya mechi kocha anaanzisha mabeki watano, DMs wawili.

Idea? Arsenal asiscore. Okay sawa.

So tuwafrustrate Arsenal, akili ichoke dakika ya 65 tubadilike.

Kwamba usipate goli in 65 minutes ila upate kwenye hizi dakika 25 za mwisho dhidi ya defense strong kabisa duniani kwa sasa?

Huyu kocha wa Chelsea ana akili?

Nilikua online muda mechi inaendelea nikawa naona mashabiki wa Chelsea wanasifu jinsi gani wanadefend. Nikawa najiuliza hawa wanajua kua wanahitaji kuscore?

Sasa mnaelewa wanaoamua mechi iwe ya moto au isiwe ni nani? Na haina haja ya kulaumu blueprint ni long balls, counter na transition huku unabana kende. Ukija una hamu ya ushindi unapata yaliyompata Bayern, Madrid na wenzake.

Liam atafukuzwa
 
Huyo Liam hakuna kitu pale sidhani kama atakuwa na muda mrefu pale darajani

Team selection yake ni very poor
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom