Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Muda huu tunaongea Chelsea anaongozwa mbili kwa bila. Pamoja na kutaka kucheza hiyo direct football
 
Arsenal Ni ya pili Kwa ufungaji magoli Epl 46 nyuma ya mancity47, ya3 Man Yuu41, na Kwa kufungwa magoli machache ni arsenal, akifuatiwa na Mancity.
Na yupo nafasi ya kwanza kwa 7 points. Fergie hakucheza possession football na alichukua makombe mia kidogo, mourinho alicheza very boring games, defensive(parking the bus) football na anaitwa the special one.

It's time we win trophies, hizo sexy football tutacheza tu, "wenger ball" has no chance in winning silverware.
 
Gordon mchezaji wa Newcastle anasema sababu ya wao kuonekana hovyo hadi kutoleta ushindani kwenye top four ni kwakua timu za EPL zikicheza nao zinapaki basi.

Nilicheka sana
 
Ukicheki games za Newcastle unaona jinsi wanafanya setup ya kona kama Arsenal.

Na hii siyo timu ya kwanza kuiga hii setup.

Wakati mashabiki wanajifanya wanaundermine magoli ya set pieces makocha wao wako busy kujifunza cha kufanya.

Miaka michache nyuma admin wa Liver akiwa anashangilia Liver kua wazuri kwenye kuscore kwenye set pieces akatweet "The set pieces mastermind"

Leo kocha wao analalamika anaonewa kwa kuconcede magoli ya set pieces.

Mashabiki wenzangu wa Arsenal msipagawe, focus ni kudismantle hawa watu kiakili
 
Na yupo nafasi ya kwanza kwa 7 points. Fergie hakucheza possession football na alichukua makombe mia kidogo, mourinho alicheza very boring games, defensive(parking the bus) football na anaitwa the special one.

It's time we win trophies, hizo sexy football tutacheza tu, "wenger ball" has no chance in winning silverware.
Kwamba mourinho alicheza boring games alipofika pale chelsea? Huo mpira umehadithiwa itakua. Chelsea ya wanaume kina makelele ,gudjohson, cole , duffy , kezman na drogba unataka kuifananisha na hawa wasambaa wa arteta kina timber?
Mourinho hakucheza boring games mmoja ya chelsea iliyokua inatisha ni ile unakutana na wanaume haswa nakumbuka barca alichezea goli 4 bayern kala 4 unataka kuifananisha na nyinyi kufunga mpaka corner kicks.
 
Kama ni rahisi nawewe funga,
 
Attachments

  • 20251229_153329.jpg
    20251229_153329.jpg
    49.5 KB · Views: 4
Kwamba mourinho alicheza boring games alipofika pale chelsea? Huo mpira umehadithiwa itakua. Chelsea ya wanaume kina makelele ,gudjohson, cole , duffy , kezman na drogba unataka kuifananisha na hawa wasambaa wa arteta kina timber?
Mourinho hakucheza boring games mmoja ya chelsea iliyokua inatisha ni ile unakutana na wanaume haswa nakumbuka barca alichezea goli 4 bayern kala 4 unataka kuifananisha na nyinyi kufunga mpaka corner kicks.
Nani anajulikana kwa kupaki bus, uliangalia fainali ya Inter vs Barca ? Ni namna gani Mou alibeba lile kombe? Alicheza attractive football? Fegerson alivyomfunga Bayern dakika za mwisho alicheza attractive game?
 
Timu inayoongoza kwa magoli ya set pieces ni Arsenal ikifuatiwa na Chelsea. Arsenal ni ya kwanza ikiwa imeiacha Chelsea kwa points 10+

Nimekuta online pages za michezo zinaweka orodha ya waliofunga magoli mengi Arsenal na katika orodha wameweka namba 2 ni Own Goals.

So sasa hivi Arsenal tunalaumiwa kwamba tunafunga kwa set pieces na timu pinzani zinajifunga.

Kuna timu hua inapata kona halafu inapiga kona kwa kujifurahisha? Yaani lengo siyo kuscore? Kisha unalaumu Arsenal kuscore kwa kona. Jana Deeney akasema Arsenal isipochukua kombe mashabiki wanatakiwa kubeba lawama pia.

Hoja yake ni kwamba Mashabiki wa Arsenal tuna tabia ya kusubiri kitu kiende hovyo halafu tuanze kulaumu. Hatuwezi kuangalia picha kubwa na tuna haraka kujifanya tacticians.
 
Paragraph ya mwisho ni ukweli mtupy
 
Kwanini watu imani ya kwamba ligi itanyanyuliwa ni kubwa? Ni kwakua misimu ya nyuma yote ilikua ikifika January na April kikosi kinaanza kua finyu.

Inashindikana kufocus na tournaments zingine mnaamua kufocus na ligi ila ligi ni long shot. It takes time.

Lakini angalia mechi ya jana dhidi ya Leeds na sub zilizofanywa na waliobaki benchi, Leeds kapoteza game moja kati ya 11, amewafunga na kusuluhu wanaojiona timu kubwa. Pale nyumbani kwake hajapoteza mchezo katika michezo mitano aliyocheza.

Shearer, goal scorer wa Newcastle, akasema defense inaweza kutubeba pale Elland road ila anaamini atmosphere itatutingisha. Arsenal ikaenda na kupata goli nne na points tatu.

Tusi kwa watu wa darajani waliothubutu kumfananisha Raya Arsenal ikatoka na clean sheet ya 12.

Kisha baadaye Newcastle ikacheza, ikafungwa 4. Shearer hatujui kaingilia wapi, shabiki pekee wa Newcastle ninayemjua JF anakuja kunung'unika juu ya Arsenal, kwakua ni mnafiki unajua kabisa kwamba huyu hata hajui kama timu yake ipo karibu kushuka daraja kuliko kuingia top four.

Yeye na Shearer wote wapo kapu moja isipokua mwingine ni mzungu so anajaribu kutumia akili ila huyu black people wetu yeye hata hajui kama jana wamepigwa goli la set piece na Liverpool.
 
Msimu huu kombe linatutaka.

Leo yule city Draw tu inatosha.

Au turudi palepale kila mtu ashinde mechi zake.
 
Back
Top Bottom