Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 268
- 760
Madueke for Saka
Hivi Rice hawezi kukaa hapo kwa Zubi.Kai do the supply homie
View attachment 3537041
Tough game. Zile game za vijijini ndo wanakipiga.Leeds wako vizuriiii mazeee dah, ni sheedah
Ian Wright anakuambia tulishacheza entertaining football na haikutugea chochote.Tunachokifanya arsenal ni uhuni, tunaenda kuchukua ligi kihuni huni tu
Hakuna open play goals, magoli yote ya kihuni huni (magoli ya kurundikana golini)
Kwa mwendo huu arteta ni kocha msaidizi kocha mkuu ni huyu wa set pieces
Hizo ni kauli za mashabiki, mashabiki wanataka makombe. Hata haya matusi tunayopata himu jf yataisha kwa kombe la maana likiingia msimu huuIan Wright anakuambia tulishacheza entertaining football na haikutugea chochote.
Yupo radhi tutembee na boring football huku tuna makombe.
Arsenal ni ya tatu au ya pili miongoni mwa timu zilizofunga magoli mengi.Hizo ni kauli za mashabiki, mashabiki wanataka makombe. Hata haya matusi tunayopata himu jf yataisha kwa kombe la maana likiingia msimu huu
Swali linarudi sasa, ina maana plan A ya arteta ni set pieces ? Arteta anafundisha mpira huu?
Ikitokea tumebeba kombe la maana kwa mwendo huu alafu ukisikia viongozi wa juu hawana imani na arteta utashangaa?
Arteta anacho tufanyia ni uhuni kama uhuni mwingine, shida ya njia za kihuni huwa hazina mbio ndefu
Tukipewa penati mtalia, acheni hii open play wote tunakabana.Tunachokifanya arsenal ni uhuni, tunaenda kuchukua ligi kihuni huni tu
Hakuna open play goals, magoli yote ya kihuni huni (magoli ya kurundikana golini)
Kwa mwendo huu arteta ni kocha msaidizi kocha mkuu ni huyu wa set pieces
Nakubali na weweTukipewa penati mtalia, acheni hii open play wote tunakabana.
Mbinu ni mbinu tu, ili mradi haidhulumu mtu.
% ila huu ni uhuni tunaoufanyaTumecheze entertaining football mda mrefu sana, tunahitaji makombe. Iwe corner kicks, free kicks or whatever, owe boring football tunachotaka ni silverware kwa kweli.Arsenal ni ya tatu au ya pili miongoni mwa timu zilizofunga magoli mengi.
Ni ya tatu au ya pili miongoni mwa timu zilizotengeneza big chances nyingi. Ya kwanza ni City.
Ni ya pili au ya kwanza kwa timu zinazoingia sana kwenye boksi la mpinzani. Ya kwanza ni City.
Ni ya tatu kwa timu iliyokosa big chances nyingi. Ya kwanza ni City.
Ni ya tatu kwa timu zenye shots on target nyingi.
Timu yenye kona nyingi ni Newcastle.
Ni ya mwisho kwa timu zilizocheza long balls nyingi.
Kwa hizo stats unaweje kusema hii ni timu inayotegemea set pieces kuondoka na ushindi?
OkayInawezekana tunaingia sana kwenye box za wapinzan lakini tusiwe tishio
Au tunapiga shoots on targets nyingi au tuna goals nyingi lakini build up ya timu ikawa sio threat kwa wapinzani. Mfano mzuri game na nyumbu
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hii timu
Castr
Waambie bro! Watoto wa Jana Hawa kikazi Cha Man city, AntonioConte na Mourinho, Solsha(japo Hana kombe) na ht Fergie japo huyu Babu sikumuona sana, walichkua Epl bila kucheza sexiest football au gegen pressing,nk km ya Barcelona,Liverpool,Bayern nk, pasi ndefu, counter attack wapo golini wanakufunga, washachukua pointi3, Tena km Mourinho aliipeleka hio staili mpk real Madrid msimu wa 2010-13 alichkua La Liga na Copa de Rey chini ya Barca Bdo ya moto chini Messi,xavi na iniestaIan Wright anakuambia tulishacheza entertaining football na haikutugea chochote.
Yupo radhi tutembee na boring football huku tuna makombe.