Kwamba huyu mtu alivyoona hizo picha akadhani ni draw ya UEFA.🤣🤣🤣 Usiempenda kaja, kwa heri Uefa kwa heri Epl, Arsenyau Best timu of season anamaliza msimu mikono mitupu😂😂😂
Na akascreenshot kuja kushare na maneno ya jikoni?
Unaona watu ambao unahisi unatakiwa kuongea nao juu ya mpira? Hawa watu ni kuongea nao juu ya matako tu.
Mwanangu kama una demu anapiga miguu yote na yupo Dodoma share number DM.