BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 467
- 937
Weupe tuu hawa Stoke city fc.Man U kabeni Kona tu vizuri.
Mwingine ni Saliba, maamuzi yake sio uhakikaHawa wachezaji wote ilibidi wale fimbo huko mapumziko, hadi dakika hii ya 45 tunatoka vipi na nyumbu 1-1
Alafu huyu zubimend ilitakiwa asirudi iliajue makosa ya kingese huwa hatu-entertain
Kabisa, ile aloacha mpira bila kujua nyuma yupo nani.Mwingine ni Saliba, maamuzi yake sio uhakika
Arsenal inamakosa mengi sana kuanzia eneo la katikati kuja nyuma.Wanatoa maboko sana sema timu nyingi huwa hazitumii makosa yao.Game na Inter tulifanya makosa mengi tu ni Vile Inter hawakuweza kuyatumia. Back pass hizi zimeshatugharimu sana. Saliba si back mwenye utulivu akitiwa presha tu kufanya makosa ni rahisi sana.Acha tuone!Back pass mara nyingi huwa zina maboko. Bora upoteza mpira mbele, ama uamue kuutoa ru kama huoni wa kumpasia.
Duuuh manyumbu wamewek tenaSisi nyumbu hilo game jepesi sana, Ndo tumeanza mechi sasa, lazima assanal tumpunue
Arsenal timu zimeshamkalili hanaga mbinu nyingine. Low block tu na kushambulia kwa kushtukizaHii sub kweli Arteta anaitaka mechi. Mapema kbs