Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,758
Na bado hayatakua matokeo mabaya. Hata kipa wa leo ni KepaMnaweza mkapigwa na leo kutokana na matokeo ya nyuma😃

Mnaweza mkapigwa na leo kutokana na matokeo ya nyuma😃
Mna eze kai kalud pigen bench injuries zilishammaliza huyoFormation ya 4 1 2 3 imemfavour jana Gyokeres.
1 = DM
2 = AM
Ambapo Kai na Eze walikua AM halafu Norgaard alikua DM.
Nafikiri ni formation ambayo imempelekea mipira Gyokeres mara nyingi kuliko formation yoyote tangu nianze kuangalia mechi.
Odegaard as usual. Alivyoingia akaanza same routine ya sideway passes na back passes na kusita sehemu za kushoot. Jamaa alipata majeraha mara tatu msimu huu inakua ngumu kumjudge ila hahitaji kucheza 90 minutes kwa maoni yangu.
Sasa yaweza kua ishu si formation ila watu walio nyuma ya Gyokeres inawezekana kabisa hata formation ya 4 4 1 1 ikawa favourable kwakua inampa wigo Kai kua kama SS na Gyokeres ST so defense ya mpinzani inakua torn.
Ngoja tuone dhidi ya Leeds nini kitakua.
3:2😃Doh its bad goli la kwanza in a minute
Kai hakai na mpira tofauti na Martin.Formation ya 4 1 2 3 imemfavour jana Gyokeres.
1 = DM
2 = AM
Ambapo Kai na Eze walikua AM halafu Norgaard alikua DM.
Nafikiri ni formation ambayo imempelekea mipira Gyokeres mara nyingi kuliko formation yoyote tangu nianze kuangalia mechi.
Odegaard as usual. Alivyoingia akaanza same routine ya sideway passes na back passes na kusita sehemu za kushoot. Jamaa alipata majeraha mara tatu msimu huu inakua ngumu kumjudge ila hahitaji kucheza 90 minutes kwa maoni yangu.
Sasa yaweza kua ishu si formation ila watu walio nyuma ya Gyokeres inawezekana kabisa hata formation ya 4 4 1 1 ikawa favourable kwakua inampa wigo Kai kua kama SS na Gyokeres ST so defense ya mpinzani inakua torn.
Ngoja tuone dhidi ya Leeds nini kitakua.
Unafurahia ?3:2😃
Amna just close callUnadurahia ?
Manchester United mlishaaga mashindano yote kilichobaki ni kuheshimu tu calendar ya premier League🤣🤣🤣 Uefa management wanasifa sana.
Ndugu zetu ndio tayari tena wameshaaga mashindano.
🤣🤣🤣 Usiempenda kaja, kwa heri Uefa kwa heri Epl, Arsenyau Best timu of season anamaliza msimu mikono mitupu😂😂😂Manchester United mlishaaga mashindano yote kilichobaki ni kuheshimu tu calendar ya premier League
Kwamba huyu mtu alivyoona hizo picha akadhani ni draw ya UEFA.🤣🤣🤣 Usiempenda kaja, kwa heri Uefa kwa heri Epl, Arsenyau Best timu of season anamaliza msimu mikono mitupu😂😂😂
Angalia exotic.com kwa google chrome.Kwamba huyu mtu alivyoona hizo picha akadhani ni draw ya UEFA.
Na akascreenshot kuja kushare na maneno ya jikoni?
Unaona watu ambao unahisi unatakiwa kuongea nao juu ya mpira? Hawa watu ni kuongea nao juu ya matako tu.
Mwanangu kama una demu anapiga miguu yote na yupo Dodoma share number DM.
Watoto wa kule wana bei elekezi za moto sanaAngalia exotic.com kwa google chrome.
Kupiga miguu yote ( kwa mwanamke) ndo kufanyaje Castr 😅Kwamba huyu mtu alivyoona hizo picha akadhani ni draw ya UEFA.