Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal akipata kocha wa PSG ubingwa EPL ataupata au hata akirudishwa Unai.
Arsenal wanacheza mchezo laini si wakibingwa.Timu huwa zinafungwa kwa kuiogopa ila kama timu inaingiana na mbinu nzuri Arsenal wanatabirika.
 
Nachoipendea hii team ni ule uwezo wa kutengeneza false hopes na kuenda nazo no matter what, mnakumbuka 2022 ile wakawa wanapiga hesabu za kuifunga forest halafu city apoteze kwa westham sijui kwa goal difference ya ngap? Na ile arteta anaongoza points 8 then akapitwa 4 anakuambia there is still a chance to win it, we only need to believe .

Huweziii kuwa bingwa kwa kutegemea mipira ya set pieces ona hata magoli ya arsenal ya leo ni kubabatiza tu , halafu wanakuja ooh defense nzuriii haya on target3 chuma 3 waulize leo wao wametengeneza chance gani ya maana.
Watu wanasajili mchezaji ambaye anaweza kuamua matokeo game ikiwa ngumu wewe unaenda kujiokotea winga tereza madueke πŸ˜‚ , mcheki cunha goli la leo ni uwezo binafsi ule wa kibrazil.
 
Wakati tunawaambia maana ya team hii kuitwa false hopes ni tendecy yao kushinda game zisizokua na umuhimu wowote wakakunja ndita wakiona tunawaonea wivu.

Game muhimu hushindi unashinda game zisizokua na faida kwanini tusikuite false hopers . Kuna ile rice anasema its fucking every times when we have a chance to increase the points gap another blow, dogo saka akamtuliza welcome to the false hopes club mateπŸ˜‚.

Vipi wazee bado mnaamini kuna ubingwa hapa?? Points 4 kwa city halafu arsenal hii ya kutegemea corners hata unishikie bunduki ukweli utasemwa tu
NARUDIA TENA ARSENAL THIS SEASON ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
 
Ushindi wa leo ni pure false hope. Hivi game ya leo na Nottingham ipi ni game ushindi wake ulikua wa muhimu zaidi? Ukipata jibu sahihi utajua kwanini tunawaita false hopers. Tukutane May.
Hakuna sehemu tu πŸ“Œ pin haya maelezo false hopes wasome kwa kurudiarudia huenda wataelewa.

Chance aliyokuwa nayo arsenal ya kuongoza kwa gap kubwa angeipata chelsea, man utd, Liverpool na hata wanangu Leicester saivi tungekuwa tunafanya calculation za ubingwa ila ona kaipata arsenal tunaongelea nini saivi .
 
Vipi hapo ? Maelezo mengi yamejaa false hopes haya man utd kaja hapo emirates ambapo hamjapoteza game na kachukua points 3

Dorgu sio tu kachukua points 3 kapiga na chuma mmoja ya moto sana.

Hii man utd iliyochukua points 3 muhimu ukimuuliza kila man utd fans kuhusu ubora wa team yao atakuambia man utd ni mbovu ila njoo upande wa pili wa arsenal, hii ndo team yao bora zaidiii the best team right now ukiuliza ubora wao uko wapi watakuambia magoli machache ya kufungwa mara hawaruhusu shot on targets na hizo ndo standard ya ubora wa arsenal.

Jiulize kama man utd mbovu inamfunga arsenal ambayo bora kabisa kwenye match muhimu kama hii , je arsenal angeweza kuifunga man utd bora kabisa kwenye match yake muhimu ?
Kupata jibu rejea wakati man utd ikiwa bora kabisa.

Standard ndo inaonekana hapa why man utd ni club kubwa kuzidi arsenal wakati arsenal ubora wao ni mambo ya shot on target with zero trophy man utd ubora wao ni trophies , standard ya ardhi na mbingu.
 
Wakupe heshima Yako mkuu...umechagua kuwa mkweli kuliko uongo wa arteta
 
Nimeanza kuishabikia Arsenal Mwaka 1996,Huwa naamini sidhani kama kuna mwanadamu hapa Tanzania anayeijua na kuhifahamu vizuri timu ya Arsenal kushinda mimi UMUGHAKA

Itoshe kusema Arsenal hawezi kuwa Bingwa hadi siku ambayo itaachana na Tapeli Kroenke na kampuni yake!,Tofauti na Hapo mashabiki hoya hoya endeleeni kujifariji !

Kumbukeni Mara ya mwisho Arsenal anakuwa bingwa bila kupoteza mechi msimu mzima 2003 - 2004 Haikuwa inamilikiwa na Kroenke!,Baada ya Kroenke tu kuichukua hii timu,Hapa ndipo alipotufikisha!

Siku Kroenke atakapoiachia hii timu basi Arsenal atakuwa Bingwa wa Epl mara nyingi kuliko Liverpool na Man Utd!

Nyie watoto wa Juzi msiyoielewa Arsenal Najua lawama mnampa Arteta na Wachezaji but tambueni Tatizo haliko kwa Arteta na Wachezaji bali tatizo ni Stan Kroenke kupitia kampuni yake Tanzu ya KSE!

Siku mtakapolitambua hili wala hamtampa kocha na wachezaji lawama !

Tukutane Msimu Ujao!
 
Huyo jamaa huwa anacheza? Ameingilia vipi matokeo ya leo ya Man u kwa mfano?! Vipi matokeo ya kwanza Arsenal aliposhinda dhidi ya Manchester ndani ya OT, vipi huyo Kroenke aliathiri vipi hayo matokeo?Tusaidie mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…