Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,965
- 95,392
QSunderland kapigwa na nyumbu akiwa ugenini, tumsubiri nyumbu na yeye aende pale kikaangoni
Binafsi naona nyumbu anaenda kufa
Kuhusu city kupoteana tusubiri hiyo jpil kenge watusaidie kumvuta shati labda ndio wataanza kuongea.
Ila mashabiki wa kenge wao wataka kufungwa sio chini ya chuma 5 wakiamini wanamkomoa Arsenal
Wakati tuna elekea kucheza na villa, chelkenge Mbaga Jr alikuwa ana omba tufungwe, kisha na yeye akabutuliwe na city.
Sasa Kwa walivyo fukuza kocha, hapa city kazi anayo kudadadeki.
