Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,310
Ushindwe kwako, kwetu si ndio tuta kubaka vibaya.Tulia zinarudi zote hizi, tukishindwa hapa bc huko huko kwenu tunakuja 😎
Na refer post yako ya jumatatuCastr
Mkuu kwenye post ya thread ya Manchester united umekosa huruma na ubinadamu.
Yaani ni zile umemkamata mwizi unapiga anazimia unamwagia maji akiamka unapiga anakata moto unamkorogea uji anapata nguvu kipigo kinaanza upya.That was very inhuman.
Siku hizi flano kapotea kabisa.piga spana mkuu
We Lofa....tukishabeba kombe tutakukaribisha kwny sherehe za ubingwa uje uhudhurie maana tunajua Bado ww ni mwenzetu ila una act kama hutupendi hivi🤠🤠...welcome to the Gyokeres show😂😂😂 false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? “ana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance “ hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
Ndugu yangu acha twende nao sawaCastr
Mkuu kwenye post ya thread ya Manchester united umekosa huruma na ubinadamu.
Yaani ni zile umemkamata mwizi unapiga anazimia unamwagia maji akiamka unapiga anakata moto unamkorogea uji anapata nguvu kipigo kinaanza upya.That was very inhuman.
Siku hizi flano kapotea kabisa.piga spana mkuu
Heri uwe tapeli kuliko kuwa mwehu ka wewe,😂😁EPL UCL msahau ....
Nyie wasindikizaji tu ndaza kabisa !
Tupo phase ya ngapi?
Arteta ni tapeli
Mme badilisha uongo wenu tena 😂😁Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.
Ndaza nyie...wasindikizaji tu.... tupo phase ya ngapi?Heri uwe tapeli kuliko kuwa mwehu ka wewe,😂😁
Unaumia kutokea wapi mkuu🤠🤠Ndaza nyie...wasindikizaji tu.... tupo phase ya ngapi?
Sisi tuna ombi moja tu wakuu....mna mechi na City pale Anfield...fanyeni kama walivyofanya Manunu tu Leo.... Tutawashukuru sana🤠🤠Iko hivi mtachukua makombe yote ila uefa hamtakuja kubeba hata iweje kenge wakubwa nyie.