Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sababu pekee hakuna anayeonekana kapanik ni kwakua wote imani ni kubwa kwamba wapinzani watadrop points nonstop.

Ila game tuliyocheza ni ya hovyo. Ninaamini Arsenal isipochukua ubingwa uwezekano wa Arteta kuondoka ni mkubwa, naelewa kabisa Arteta ana nafasi ya kupata timu kubwa kuliko Arsenal kupata kocha mzuri kwa wakati lakini hii siyo ndoa ya kikristo.

Slot anazunguka interview kwa interview akilalamika watu wanamchezea long balls na set pieces. Szoboszlai anasema Arsenal siyo mabingwa which is true, sasa kwanini tusicheze kama vile siyo mabingwa? The hunger and focus ya timu ndogo kama Forest, long range shooting ya timu ndogo kama Fulham.

Long balls za Brentford.

I mean the blueprint was there yet we went with same approach.

Bullshit
 
20251019_122921.jpg

Tuanze kumdiscus?, au tuachane nae kwa kua anamikimbio mizuri.
 
Hakuna timu iliwahi kuchukua ubingwa kwa kutegemea corners, game ya man city vs brighton unaona kabisa chances zilitokea kwa man city ila tu walishindwa kumalizia kitu kinachotokea kwa team yoyote ukiwa na siku mbaya.

Champions teams always au dalili zake huwa unapokutana na team kubwa ikiwa vibaya basi lazima unampa dozi ya maana, rejea Liverpool last season against man city mbovu halafu angalia arsenal akiwa home against Liverpool mbovu hapo ndio unaona why tunaita arsenal false hopers. Last season liver team ikitokea zimedraw basii yeye alikua ni kuongeza gap la points mpaka zikafika 10 .

All in all narudia kusema tena kwa uhakika zaidi THIS SEASON ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE . Hatuyasemi haya kisa chuki bali tunausema uhalisia wenyewe.
 
Sijawahi kuiangalia hii timu na nikatamani mchezaji wa timu pinzani angekua nafasi ya mchezaji wa Arsenal.

This is how better this team has gotten.
 
Sijawahi kuiangalia hii timu na nikatamani mchezaji wa timu pinzani angekua nafasi ya mchezaji wa Arsenal.

This is how better this team has gotten.
😂😂😂 false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? “ana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance “ hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
 
Sijawahi kuiangalia hii timu na nikatamani mchezaji wa timu pinzani angekua nafasi ya mchezaji wa Arsenal.

This is how better this team has gotten.
😂😂😂 false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? “ana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance “ hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres mlimnunua afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
 
😂😂😂 false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? “ana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance “ hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE
20251019_122921.jpg
 
Wanatetemeka, wanajaribu kila namna ya kutuponda na kudai huu tena siyo mwaka wetu...
Sisi tunasema hivi, watulie kama maji ya mtungini, waone ligi itaisha kivipi.
C O Y G
In Arteta we trust, in arsenal we trust, keep up the faith gunners....
 
Kesho saa 11 jioni tuna game ya FA na Portsmouth.

Jumatano saa tano usiku tuna game ya nusu fainali dhidi ya Chelsea.

Wiki mbili baadaye tutakua CL na Inter Milan.

All the while tukiendelea kupambania ubingwa wa ligi.

Sijui kama unakumbuka. Ila Arsenal amepoteza mechi mbili tu msimu huu.

Tafuta better team ilete hapa yenye same stats kwa hichi kipindi, kwa mara ya kwanza sioni haja ya Arsenal kusajili January.
 
Arteta atulize akili katika mbinu zake pia.

Hadi sasa kocha wake wa set pieces ndio amemuokolea kibarua chake.

Ni wakati wake nae afanyie kazi mbinu zake aache ujuaji.

Kuna kipindi Arsenal ile ya kina Xhaka ilikuwa inasearch kwelikweli hadi mpinzani anatoa.

Nyumbu wanakumbukumbu nzuri sana katika ile misako yetu hadi walikuwa wanaomba poo.

Kwasasa nikimuangalia Arteta namuona akili yake ipo zaidi kwenye kukwepa asiruhusu magoli kuliko yeye kupata magoli.
 
Victor Goyc tuanze kumjadili lini wanetu ? Ama link up play na mikimbio mziruri vinatosha ?
Mmepigwa mchana kweupe hakuna mchezaji humo !

Eze nae naona mfumo umemkataa, bora angeenda spurs ya Thom Frank !
 
Nyumbu wanakumbukumbu nzuri sana katika ile misako yetu hadi walikuwa wanaomba poo.
Kumbukumbu yoyote bila kombe ni upumbavu, kumbukumbu zenu ni kumfunga madrid robo fainal na matakataka mengine . Arsenal mna standard za chini sana, angalia chelsea marseca kabeba club world cup tena kwa kumpiga bingwa haswa PSG lakini katimuliwa ila nyinyi arteta anasaini mkataba wa milele kwa kumpiga madrid robo fainali na kuwasha glopu na michoro yake ya rabbit au duck dressing room.
 
Saa 17 moto unawaka.

Kikosi B cha hii timu inatakiwa kigombee Europa. Ngoja tuone kwenye FA
 
Big chances nne. Tatu zimekoswa.

Portsmouth wamekuja na high energy hadi ule upimbi wa slow tempo hauwezekani.

Nafikiri tusipobadilika wana chance ya kuupset matokeo
 
Back
Top Bottom