Wanaachaje kuwa scared sasaLeo sijaona Chelsea wakipepeta midomo huko mitandao mikubwa.
They are scared
Njia pekee ya sisi kuto kukupiga ni kuto ingia kiwanjani, haya kimbia kenge mavumbi weeLeo lazima mlale yoooooo
Mbaga Jr mbona jamaa yenu wa chelkenge ana pagawa mapema😁Njia pekee ya sisi kuto kukupiga ni kuto ingia kiwanjani, haya kimbia kenge mavumbi wee
Tulia mkuu
Usilie ohhh pole sana ChelkengeTulia mkuu
Long live empty fans like you.View attachment 3527331
Tuanze kumdiscus?, au tuachane nae kwa kua anamikimbio mizuri.
Haya ndio madhara ya kuongea bila kula😂😂😂😂😂 false hopers bana umemaliziaje hapo chini.
Vipi kuhusu gyokeres? “ana mikimbio flani hivi na kupress sana hata asipofunga anasaidia team kubalance “ hizi sababu za kila false hoper, nyinyi gyokeres afunge au aendelee ku press na kubalance team.
Narudia tena MSIMU HUU ARSENAL ANATOKA BILA KOMBE LOLOTE