Khs kutoka top 4 Hilo sahau, Ila lazima Leo tumpe ushindi man ctyIdea ni kuhakikisha Kenge harudi CL msimu ujao. Inabidi Sunderland ashinde na Everton ashinde ili kumuondolea matumaini ya kunusa top 4.
Kenge kabisa
Na lazima mumpe kweli.Khs kutoka top 4 Hilo sahau, Ila lazima Leo tumpe ushindi man cty
Narudia Chelsea win or draw.Khs kutoka top 4 Hilo sahau, Ila lazima Leo tumpe ushindi man cty
City wanakosa bahati tu, jinsi goal zinavyokataa kibongo bongo utasema kuna kitu kimefukiwa goliniFotmob inaonyesha kenge linapelekewa moto. Ni kweli?
Ilibidi liwe limepigwa tatuCity wanakosa bahati tu, jinsi goal zinavyokataa kibongo bongo utasema kuna kitu kimefukiwa golini
1 city - 0 kenge
Mpira ni hesabu sio tabiri za kuji takia, chelkenge Mbaga Jr uhali gani huko nyumaNarudia Chelsea win or draw.
Asante sana ChelkengeKhs kutoka top 4 Hilo sahau, Ila lazima Leo tumpe ushindi man cty
Thanks you chelkengeChelkenge kesho tunakufa nyingi, namuua chelkenge kwenye mikeka yngu
makaveli10, Mad Max keka lime anza kutiki😂next three games for arsenal and man city
Arsenal
- Bournemouth
- Liverpool
- notiham forest,
Man City
- chelsea
- brighton
- man united
suluhu 2 kwa chelsea and united, uwii 😁 😁
makaveli10, Mad Max keka lime anza kutiki😂next three games for arsenal and man city
Arsenal
- Bournemouth
- Liverpool
- notiham forest,
Man City
- chelsea
- brighton
- man united
suluhu 2 kwa chelsea and united, uwii 😁 😁
Hapana sio kweli, n ww ndo unapelekewa motoFotmob inaonyesha kenge linapelekewa moto. Ni kweli?
Unaweza kushangaa assanal nae anakosa ubingwa 😂Thanks you chelkenge
well done chelseaUnaweza kushangaa assanal nae anakosa ubingwa 😂
Ina sikitisha sanaHapana sio kweli, n ww ndo unapelekewa moto
Kwani wapi umeona nasema arsenal bingwa?, si tuna shinda nyie shindeni na dudu baya🤣Unaweza kushangaa assanal nae anakosa ubingwa 😂
Game mbili zijazo za assanal lazima moja alambweKwani wapi umeona nasema arsenal bingwa?, si tuna shinda nyie shindeni na dudu baya🤣