Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,905
- 1,713
Nakukumbusha tu umtafute uyo mtoto wa howeJ4 ntakutafuta mkuu.....walijichanganya sana wale vijana siku Ile kutufunga dk za jiooooni🤠🤠🤠....hivi tunavyocheza sasahivi ndo tunapitia kipindi kigumu kama kawaida yetu December ila tunapata matokeo....kuanzia January kazi inaanza upya....clean sheet na goli moja tu la ushindi....af ungekuwa unatumia muda mwingi kumshauri Howe acheze bolu safi sio vurugu Kila siku na matokeo ya tia maji tia maji