arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,357
- 4,402
Merino angekuwa kachangamka kidogo tu basi angekuwa mzuri zaidi....shida yangu mm na yy Kuna mechi nyingi akicheza kiungo timu unakuta IPO kwny transition ila yy anapooza shambulizi kilofa tu....yule mm kumkubali itachukua karne aiseeAna vision ya merino, ni press resistant mzuri zaidi ya merino.. kwenye kushambulia anakupa anachokuofa merino?
Simkatai Norgaard ila wachezaji huzidiana kwa sifa tofauti tofauti, na unaweza kuta mwalimu anamchagua mchezaji kwa sifa fulani tu