Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani unaongoza ligi, unaongoza CL, upo nusu Carabao, upo FA.

Anatokea pimbi mmoja anakaa Ujiji kwa Ali Maua anakuja kutoa lecture.
Unaongoza ligi lakini huchukui ligi, unaongoza CL lakini huchukui CL, upo nusu carabao kwanini usipewe lecture na mtu aliyebeba carabao wakati huo haujawahi kubeba kabisa carabao.

Wewe lazima upewe lecture tena ya maana , kaa siti ya mbele na ream pepa kubwa 3 tuanze kushusha lecture false hoper.
 
Sasa Rice kua RB nayo inafikirisha. Ila siyo ajabu DM kua beki. Let's see kama ile tweet ya Brighton itatumika kutia watu morali
😂😂😂 ila arsenal yaani morali ya timu inatokana na tweet za admin wa Brighton, kuna kuchukua ubingwa kweli hapa ndugu zangu? Ubingwa hauchukuliwi kwa morali za twitter au facebook.
Unaambia game na aston villa , emery aliwaambia ili tuwachqnganye hawa kenge wakaweka kombe lao la CL mlangon kabla ya kuingia uwanjani , kina saka wakabaki wanalishangaa kombe tu lile.
 
Jana nilikua naona mashabiki wa Newcastle wanasema Howe aondoke uwezo wake umefika mwisho.

Something I said two years back. Nafikiri kufungwa na United mbovu ndiyo kitu wameshindwa kuvumilia
 
Unaongoza ligi lakini huchukui ligi, unaongoza CL lakini huchukui CL, upo nusu carabao kwanini usipewe lecture na mtu aliyebeba carabao wakati huo haujawahi kubeba kabisa carabao.

Wewe lazima upewe lecture tena ya maana , kaa siti ya mbele na ream pepa kubwa 3 tuanze kushusha lecture false hoper.
Wewe tupe matokeo ya nyukesto yako na United
 
Jana nilikua naona mashabiki wa Newcastle wanasema Howe aondoke uwezo wake umefika mwisho.

Something I said two years back. Nafikiri kufungwa na United mbovu ndiyo kitu wameshindwa kuvumilia
Howe katupa carabao inatosha, tupo tunasuka mipango anakuja xavi pale kutupa makombe yaliyobaki.
 
Inabidi dirisha dogo tusajili versatile RB/CB maana haya majeruhi yanaweza kutucost sana huko March-April ambapo ubingwa huamuliwa.

Pia timu haipo aggressive kabisa, touches kibao na ubishoo mwingi golini. Hata kujaribu tu shots nje ya box hatuwezi tunataka tupasie nyavu!!

Lastly, tunatabirika sana attacks nyingi ni upande wa saka!! Hii inapaswa kuwa addressed mapema. Tupo one dimensional sana bila kujalisha ugumu wa mechi au aina ya mpinzani.
 
Villa hapambanii 3 place anakushusha rasmi hapo juu tarehe 30 kama kawaida yake
J4 ntakutafuta mkuu.....walijichanganya sana wale vijana siku Ile kutufunga dk za jiooooni🤠🤠🤠....hivi tunavyocheza sasahivi ndo tunapitia kipindi kigumu kama kawaida yetu December ila tunapata matokeo....kuanzia January kazi inaanza upya....clean sheet na goli moja tu la ushindi....af ungekuwa unatumia muda mwingi kumshauri Howe acheze bolu safi sio vurugu Kila siku na matokeo ya tia maji tia maji
 
huyu jamaa amekuwa selfish sana saiv

IMG_2082.jpeg
 
Back
Top Bottom