The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 247
- 285
Arsenal mtatoboa Leo Kwa wababe wenu, A.Villa maana wanapiga low block ya hatarii possession hawana shida nayo na ubwabwa anaejituma zaidi hayupo leo
Naunga mkono hoja.Mimi kama shabiki wa chelkenge
Aston 2 : 0 arsenyeto
Chelkenge 0 : 2 Man City
🙏
Hata droo tu inatutosha sisi A.Villa.Arsenal mtatoboa Leo Kwa wababe wenu, A.Villa maana wanapiga low block ya hatarii possession hawana shida nayo na ubwabwa anaejituma zaidi hayupo leo
AstakafirilahIna sikitisha sana, kama una jiamini weka mambo yako ya nyuma kama bond
Ungeweka mambo yako ya nyuma, basi Gabriel angesha yatatua.Astakafirilah
Villa tumeanza kurukarukaUngeweka mambo yako ya nyuma, basi Gabriel angesha yatatua.
Its Gabriel, arsenal 1-0.
Zubimendi🔥🔥 2-0Mimi kama shabiki wa chelkenge
Aston 2 : 0 arsenyeto
Chelkenge 0 : 2 Man City
🙏
Usijali, hatuta wachana chama, ila tuna piga kistaarabuVilla tumeanza kurukaruka
Trossard 3-0 villa mme haribika hamkuwa hivyo huko nyuma.Villa tumeanza kurukaruka
Ruka tena😅Villa tumeanza kurukaruka
dah yesu nae kaamua kuwakaza, 4-0Villa tumeanza kurukaruka
Hilo goli la Villa sijapenda kbsaHuu mtindo wa kuconcede magoli dakika za 90 tusipouacha tutakuja kuumbuka