Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,556
- 19,752
Wolves Leo ameokota alama kwa nyumbu😅
Siku mbaya kazinidah yesu nae kaamua kuwakaza, 4-0
Tume wakaza vibaya sanaSiku mbaya kazini
Mimi kila msimu nawaita wazee wa false hope sababu nakuwa na uhakika hawachukui lakini msimu ni tofauti arsenal kuchukua ubingwa sio suala kubwa Nampa asilimia 90%Arsenal watwaa ubingwa EPL this season.
Mkuu kumbe umerudi??Idadi hii ya magoli ndiyo ingepatikana dhidi ya Brighton kama tungekua clinical
Yeah nimerudi.Mkuu kumbe umerudi??
Nilijua tu utarudi. Yani Arsenal anavyokimbiza alafu usishabie, hicho kitu hakiwezekanikiYeah nimerudi.
Labda Martinell ila Saka kusema ni average kwasababu kacheza vibaya mechi 2 & 3 siyo kweli.SAKA na MARTINELLI msimu wa mwaka jana au juzi nilisema hawa ni AVERAGE players, hawawezi endelea na moto ule ule..
Ila kikubwa timu inashinda hamna tabu.
Naona odergard nae sasa hivi kapata akili za kushoot
Saka sio mechi hizi 2,3 tu, mie ugomvi na saka toka yupo kwenye ubora wake,Labda Martinell ila Saka kusema ni average kwasababu kacheza vibaya mechi 2 & 3 siyo kweli.
Mlikuwa mnakataa Odegard kuna kipindi, sasa hivi mmeanza kujirudi.
Kwangu Saka kwenye ubora wake ni world class. Hivi karibuni amekuwa na uchoyochoyo flani, ila akiamuaga ajitoe acheze Kwa ajili ya timu, anajitoaga sana.Saka sio mechi hizi 2,3 tu, mie ugomvi na saka toka yupo kwenye ubora wake,
Huyo odergard kwangu ni 50,50 tu sijawahi sema ni bora lakini pia, sijawahi mkandia kihivyo, kikubwa kanifurahisha now days kapata akili ya kupiga..
Nakuuliza wewe SAKA ni world class player?