Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Sio kwa arsenal , alifika mpaka April tena 8 games to go na akakosa ubingwa !!Ila epl ni ngumu sana, naona timu zinavyohangaika kupata ushindi. Ukitoboa dec hadi march.. unabeba ndoo
Arsenal mpaka akabidhiwe kombe kabisa hapo ndio unaanza kumuwazia ubingwa maana unaweza ukashangaa pia ubingwa akavuliwa hata kama kapewa kombe so inabidi ujipe kama week 1 kwaajili ya kuhakikisha😂