Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpaka kufika January 15 huko City atakuwa anaongoza ligi na gap la point kuanzia 5... Mark this comment !

Pep akishaongoza ligi kwisha habari yenu, mnamjua jamaa habahatishi na mwendo mtakuwa mmeumaliza ! Poleni sana wafukuza upepo
 
Kama umecheki mechi ya Palace na City ndiyo utaelewa nikisema tunatakiwa tu kushinda mechi zetu.

Stori ni ileile, against Arsenal paki basi. Anyone else offer opportunity after opportunity after opportunity.
 
Wachezaji wetu Wana shida ya kuremba remba( miguso mingi isiyo ya maana) kwenye build up.
Ndo maana wapinzani huwa wanacover positions mapema na kujilinda and hence tunashindwa kupenetrate kwenye lango lao.

Tofauti na City ambao huwa hawana miguso mingi kwenye build up zao.Yaani pasi nne tu Haaland anagewa mpira inakuwa bao.

Arteta na timu yake wanatakiwa walifanyie hili kazi mapema kabla mambo hayajahariba.
 
Sunderland walikataa kuweka badge ya Newcastle kwenye scoreboard na badala yake wakaandika " Visitors"😅

Labyrinth 84 usijifanye hukuona hiyo🤣
1765805508510.jpg
 
Kama umecheki mechi ya Palace na City ndiyo utaelewa nikisema tunatakiwa tu kushinda mechi zetu.

Stori ni ileile, against Arsenal paki basi. Anyone else offer opportunity after opportunity after opportunity.
Lawama mnatupia team nyingine sasa baada ya gap la point 8 kupotea.

Arsenal pattern yao ya kushambilia ipo ivi mnategemea wingers tena sana RW (saka) yaani zubimendi or ode watapata mpira wanapiga kwa saka akokote au kuingia ndan apige cross mhangaike ndo utengenezaji wa magoli kutoka kwenu. Zaidi ya hapo hakuna cha maana mtafanya .

Game vs chelsea, brentford, aston villa , wolves magoli yamepatikana kwa njia hiyo, kifupi hamna njia yoyote ya ufungaji zaidi ya hio na set pieces.
Man city unaona kabisa mtu anafunguliwa na kusachiwa na midfielders na chances zinatengenezwa , bahati mbaya unaona kama team zinafunguka kwa kupenda kumbe ni uwezo wa man city
 
Hivi huwa unajiuliza huyo Haaland akipata jeraha hata mwezi mmoja Man city watakuwa kwa Hali gani?

Bora Sisi Arsenal magoli yanatoka pande zote yaani hivi tunavyozungumza karibia kila mchezaji wa Arsenal ana goli, tofauti na City ambao asilimia 85 ya magoli yao yote yamefungwa na mchezaji mmoja tu ambaye ni Haaland,kitu ambacho ni hatari zaidi kwa timu.

Shida yako ni hujui kuangalia angles zote huwa unapayuka payuka tu
 
Yupo marmoush atakaa nafasi yake na still atafunga magoli mengi tu. Unahisi man city inabebwa na halland? Man city anaweza kutengeneza chances nyingi kutokana na wachezaji walionao ndo maana unaona halland ana goal nyingi.

Gyokeres si huyo hapo anacheza kila siku ila unaona anafunga? Unakumbuka hata gyokeres kufunga ilikua lini? Unajua hata kwanini hafungi sababu ni chances hapati wala hazitengenezwi. Mipira ya crosss na set pieces kichwa anapiga yoyote tu.
Hatari ya team ni inapokua haitengenezi chances na sio mtu mmoja kufunga.
Nembu nitajie chances 2 za maana mlizotengeneza vs wolves , aston villa.
 
Hakuna timu ambayo huwa haitengenezi chances kwenye mechi.
That's why kuna " wasted chances" na "goalkeeper saves"

Muhimu ni jinsi wachezaji wanavyozitumia zile chances.
Kwa EPL Haaland ana conversion rate kubwa kuliko wachezaji wengine.

Mchezaji kama Jeremy Doku ni mbabaishaji tu anachojua Sana ni kudribble ila kufunga hajui
 
Game against wolves mlitengeneza chances zipi? Unajua kutengeneza chances kukoje? Achana na hizi papatupapatu za kupiga cross watu washambuliane ndani ya box.
Nitajie basi chance alizopata gyokeres akashindwa ku convert kuwa goals hata 3 tu.
Chelsea , brentford wolves nionyeshe clear chance mlizotengeneza
 
Lawama mnatupia team nyingine sasa baada ya gap la point 8 kupotea.

Arsenal pattern yao ya kushambilia ipo ivi mnategemea wingers tena sana RW (saka) yaani zubimendi or ode watapata mpira wanapiga kwa saka akokote au kuingia ndan apige cross mhangaike ndo utengenezaji wa magoli kutoka kwenu. Zaidi ya hapo hakuna cha maana mtafanya .

Game vs chelsea, brentford, aston villa , wolves magoli yamepatikana kwa njia hiyo, kifupi hamna njia yoyote ya ufungaji zaidi ya hio na set pieces.
Man city unaona kabisa mtu anafunguliwa na kusachiwa na midfielders na chances zinatengenezwa , bahati mbaya unaona kama team zinafunguka kwa kupenda kumbe ni uwezo wa man city
Wewe mwenye njia nyingi za kufunga uko wapi?

Sitakujibu tena. Chochote. Mpaka timu yako ishinde mechi tatu mfululizo.
 
Hahaha!!! Ligi kwani imeisha mkuu??
Mechi3 mfululizo za nini unaweza kushinda matches 9 mfululizo na ukakosa kombe kama nyinyi .

Arsenal sijui mna matatizo gani? Yaani castr unaamini kabisa mwaka huu mnachukua EPL 😂 . 2020 ule ndio ulikua mwaka wa arsenal mzee saivi title contenders ni bora wawe man city na aston villa, mkiwepo nyinyi tayari man city anakua bingwa .
 
Back
Top Bottom