Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,954
- 95,339
Palace 7 -7 uche
Sahihi, nami naona kuna pengo la partey, kuna vitu zubi inabidi ajifunze.Arsenal kupata ubingwa ni 50/50
Kosa kubwa Lao ni kumuacha Partey kuondoka,
Rice hawezi kupanda na kukaa juu, hakuna mlinzi wa kulinda defense
Zubimendi bado kuweza kuhimili ugumu wa premier league
Kwa team iliyopo amekosekana Partey kukamilisha team
Either Arteta au uongozi haupendi wachezaji wenye ushawishi kwenye team
Hapo ni mawazo yangu
Chelkenge na ndoto zisizo na machoNgoja tuwanyooshe nusu fainali
Akili zimeanza kuwarudi kama kawaida yenu ,kuanzia December mpaka May huwa mnaanza kuona vitu kwa uhalisia zaidi kuliko ndoto za mwezi 8 mpaka 10.Hii game ilivyofika half time nikaona nilale. Bado hatuna uwezo wa kufunga.
Pamoja na open chances zote ilizotengeneza hiyo Newcastle yako bado IPO nafasi ya 11 kwenye jedwali na goal difference ya 1 😏Akili zimeanza kuwarudi kama kawaida yenu ,kuanzia December mpaka May huwa mnaanza kuona vitu kwa uhalisia zaidi kuliko ndoto za mwezi 8 mpaka 10.
Tulipokuwa tunawaambia hamuezi kushinda ubingwa kwa kutegemea set pieces na wala matches zenu hamtengenezi open chances mlikua mnakaza mishipa tunafurahi sana kuona misukule wa arteta mnaanza kuzinduka tunaomba timu zinazofuata ziongeze maombi kwa vichapo ili mpone kabisa.
Toka amerudi jamaa timu nayo ni kama imekuwa inajitafuta sana. Sijui kama hili mmeliona?Odergard ana ujinga huu
Sahihi nae anaanza kuwa mzigo, kwanza huwa ana base kwa saka tu, hapendi kujaribu kushoot, kisha huwa anaforce kupiga vipasi fulani hivi ambavyo huwa anafeli mara nyingi kuliko kufanikiwa..Toka amerudi jamaa timu nayo ni kama imekuwa inajitafuta sana. Sijui kama hili mmeliona?
Na washapost goli tatu walizotufunga. Wakishinda itakua timu ya kwanza kututania na kutufungaGame ya leo dhidi ya Brighton ni game ya lazima kushinda kama tunahitaji ubingwa, sio mchezo mwepesi ila ni muhimu sana kushinda.