Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 299
- 518
Tunaenda villa park na tunashinda Amini hili..Hii game tukipata ata suluhu TU inatosha, maana Unai waga ni kama vile bado ana bifu na Arsenal, huwa anachukulia very personal
Wakati sisi tunaomba suluhu na City nae apate suluhu kwenye game yake na Sunderland lasivyo maji yatazidi Unga