Anayetufelisha wa kwanza ni Eze. Pumbavu kabisa
Eze anacheza kifaza sanaAnayetufelisha wa kwanza ni Eze. Pumbavu kabisa
ila kweli kabisa umesema maan upande wake unavuja balaa..Niliwahi kusema humu style ya uchezaji ya Calafiori ni risk. Iki-click ni bonge la style ikizingua anahatarisha kuconcede
Yaani nimeingia JF ili niweke same comment. Timu imeyumba sana. Basi tu ni ile form ndo inaibeba. Ila unaona kule beki zinavyopoteana.Hii mechi itakua ngumu kwetu... Backline sio genuine
Hatimaye imekua kweli. Arsenal ifahamikayo hatimaye imerudi!Hii mechi itakua ngumu kwetu... Backline sio genuine