ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 709
- 868
Arsenal hii kufungwa na Chelshit ni dharau....wakikaba kwenye open play tutawafunga kwenye set piecesChelsea ni jabali gumu sana baada ya dk 90 tutawanyamazisha
Arsenal hii kufungwa na Chelshit ni dharau....wakikaba kwenye open play tutawafunga kwenye set piecesChelsea ni jabali gumu sana baada ya dk 90 tutawanyamazisha
Kama ni hivyo kweli manzi kakupenda Sasa unasubiri Nini kuchukua jikoHela kanizidi pia
Huwa tunaambiwaga team fulani tishio ila tukiwafunga kauli zinabadilika mara oh bahati mara ooh mbovu kwahiyo hatutaki visingizio baada ya dk 90Arsenal hii kufungwa na Chelshit ni dharau....wakikaba kwenye open play tutawafunga kwenye set pieces
Dini mzee.Kama ni hivyo kweli manzi kakupenda Sasa unasubiri Nini kuchukua jiko
Mzee Barca walikua 10.Huwa tunaambiwaga team fulani tishio ila tukiwafunga kauli zinabadilika mara oh bahati mara ooh mbovu kwahiyo hatutaki visingizio baada ya dk 90
Kwamba yeye ni muisilamu wewe mkristoDini mzee.
Usijifiche kwamba Barca walikuwa 10 kabla ya red card game ilikuwaje?Mzee Barca walikua 10.
Arsenal kaifumua Bayern ambayo haijapoteza mechi 17
Kwakua huwa mnacheza haram football....Sasa nasisi haram tunaicheza vile vile.Huwa tunaambiwaga team fulani tishio ila tukiwafunga kauli zinabadilika mara oh bahati mara ooh mbovu kwahiyo hatutaki visingizio baada ya dk 90
Ndio vizuri, akija akaze matako, hakuna mwenye timu yake hapo.. ushindani na upana wa kikosi ni jambo la msingi saana
Ha haaaaaaaaMkuu bonyeza namba yoyote ni full comedy 😃 kwa kweli Arsenal imeni prove wrong ndugu yangu.
Kwa nini ubafuatilia avatar za watu wewe Yahudi Shia Galatia Netanyahu worshipper pathetic Scumbabag Dujeumsaeng de umbwaz ?GT Castr mbona umetoa picha ya Wenger kwenye avatar yako?
Kabla ya red card asilimia kubwa chelsea walikuwa wanacontrol mchezo ukijumlisha na yale magoli mawili yaliyokataliwa inaonyesha walikuwa wanashambuliwa jamaa ana husda sijui😂Usijifiche kwamba Barca walikuwa 10 kabla ya red card game ilikuwaje?
Mpira wetu mzuri ingawa una Haram ndani yake at least unaonekana wa kwenu ni Haram completely hauna mvutoKwakua huwa mnacheza haram football....Sasa nasisi haram tunaicheza vile vile.
Jamaa analeta ushabiki wakijinga kocha wao mwenyewe wa Barca kakiri alizidiwaKabla ya red card asilimia kubwa chelsea walikuwa wanacontrol mchezo ukijumlisha na yale magoli mawili yaliyokataliwa inaonyesha walikuwa wanashambuliwa jamaa ana husda sijui😂
Kuna kipi ulikiona kwa Chelsea kwenye game na Barca ambacho unaamin wakichezq vile vile basi wanakufa nyingi mtaalamChelsea wakicheza na sisi kama walivyocheza na Barca wanakufa tena tano