Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siyo Cucurella? Amekubali kuzungushwa zungushwa na assist ikatokea upande wake?
Na wewe uachage kuongea kama mlevi! Cucu angekua hana yellow sidhani kama hata lile goli mngepata.

Mshukuruni refa hata angalao mmeambulia droo. Sio kamdomo kakuubwa utafikiri mpira umeangalia peke yako.
 
Kijana mbona anabwabwaja hivo
 
Na wewe uachage kuongea kama mlevi! Cucu angekua hana yellow sidhani kama hata lile goli mngepata.

Mshukuruni refa hata angalao mmeambulia droo. Sio kamdomo kakuubwa utafikiri mpira umeangalia peke yako.
NI lini amewahi kuperform dhidi ya Arsenal hadi leo muone yellow imezuia performance?
 
Nyie hata hamsumbui watu mzee We endelea kujipa moyo hvyohvyo na km ulikuwa makini jana ile njia yenu ya kutegemea mipira ya kona ishapatiwa jawabu jana mpk kufanya arterta kakosa plan b😂 …..ngoja mkutane na timu za midtable huko maana tushawafungulia code kudefend set pieces
 
NI lini amewahi kuperform dhidi ya Arsenal hadi leo muone yellow imezuia performance?
We kila mechi huwa nakukamata sema kunakuaga na visababu kama hivyo, sio kila siku mtatembelea bahati, siku bahat ikiisha tutawafua kama nguo.

Maoni yako ni muhimu,Vipi Eze ebereche jana kwa nini hakupangwa?! au tusimdiscus kwanza mpk mpate kibonde? Vp Gyokere kwa ile mieleka ya kutoa roho aliyomfanyia kipa alistahili kumaliza dk.90?
 
Hii ni timu ambayo imeshinda mechi ya mwisho nyumbani kwao 2018. Ila mashabiki wanaamini wanaikamata Arsenal kila mechi.

Safi sana ndugu yetu. Ili tujue kama Eze alipangwa inabidi tumlinganishe na AM mwenzake ambaye ni Enzo.

Tunaanza.

Enzo kacheza dakika 90 na Eze kacheza dakika 72.

Enzo kapiga pasi 22 na zilizofanikiwa ni 17. Pia ni mchezaji aliyepoteza mipira kuliko wote uwanjani. Amepoteza mara 9.

Kacreate chance 1. Kapiga shot 1.

Eze kapiga pasi 18 na zilizofanikiwa ni 16. Kacreate chance 1, hana shot.
 
Eze alionekana ule muda anatoka ndo tukagundua kumbe alikuwepo😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…