OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hahahaha hauna kikosi cha kuifunga Chelsea hata mukicheza 15 😂😂😂😂Nambie we mbwa mmegawana point msiende mbali sana
Kikubwa nilikugonga 😂, nasubiri round ya pili.
Hahahaha hauna kikosi cha kuifunga Chelsea hata mukicheza 15 😂😂😂😂Nambie we mbwa mmegawana point msiende mbali sana
Kikubwa nilikugonga 😂, nasubiri round ya pili.
Leo mlikuwa mnakufa mshukuruni Caicedo kawasaidia kupata sareKatika michuano yote msimu huu Arsenal kapoteza mechi moja tu.
Wewe unaongelea majeruhi ya saliba na gabby , chelsea wapo uwanjani pungufu toka kipindi cha kwanza.Kwa atmosphere ya game ya Leo,
Ukizingatia hii ni derby,
Mfuatano wa tough matches ambazo tumecheza consecutively,
Majeruhi ya saliba na Gabby kwenye defense,
sequence ya ushindi ambao tumepata mfululizo dhidi ya Chelsea na ukizingatia kwa form aliyonayo Chelsea;Haya sio matokeo mabaya.
Hongereni Chelsea ila Bravo arsenal
Kwa atmosphere ya game ya Leo,
Ukizingatia hii ni derby,
Mfuatano wa tough matches ambazo tumecheza consecutively,
Majeruhi ya saliba na Gabby kwenye defense,
sequence ya ushindi ambao tumepata mfululizo dhidi ya Chelsea na ukizingatia kwa form aliyonayo Chelsea;Haya sio matokeo mabaya.
Hongereni Chelsea ila Bravo arsenal
Nilikua false hoper kama wewe ila nikaona yanini haya miaka 20 tunalishana false hopes tu bora nikatulie kwa wanangu Newcastle.Mkuu kama sikosei unashabikia Newcastle united.I love your bragging courage
Huko unamuonea sana mwambie ataje tu usiku wa UEFA mmoja ambao unabaki kwake kama kumbukumbu nzuri au unaokaribiana tu na nyakati kama hizi:Elewa swali.
Taja kombe moja, moja, moja, moja sio mawili, kombe moja la nje ya UK.
Kombe moja sio makombe 48, kombe moja, kombe moja tuu uwiiiiiiiii kombe moja tuu, kombe moja tuu.
Kombe moja tuu, sio mengi, moja tuu.
Labla hapa utaelewa.
Hamna cha kumshukuru mtu hapa kwa ujinga wake. Kikubwa tumechukua pointi. Mkija uwanjani kwetu mje tena 10 ili mbebe pointi pia.Leo mlikuwa mnakufa mshukuruni Caicedo kawasaidia kupata sare
Huyo ni toddler mkuu achana nae asikupotezee muda. Angalia hata uandishi wake maneno mengi na maemoji kibaoMkuu kama sikosei unashabikia Newcastle united.I love your bragging courage
Msimu huu hakuna kubottle mzee usinambie huyu City anayefungwa na Newcastle mbovu pamoja na kuhenyeshwa na Leeds kwao ndo atutoe nafasi ya kwanza.wazee wa kubottle ligi bwana Mara oooh barca walikuwa 10 ndo mkawafunga haya sawa wanaume walikuwa 10 mbona mlishindwa kuwafunga , …nyie jamaa ngoja ifike mwezi wa 3 tutaanza kusikia kelele za arterta😂
Akitaja unitaq nipo hapa 🤣🤣🤣🤣Elewa swali.
Taja kombe moja, moja, moja, moja sio mawili, kombe moja la nje ya UK.
Kombe moja sio makombe 48, kombe moja, kombe moja tuu uwiiiiiiiii kombe moja tuu, kombe moja tuu.
Kombe moja tuu, sio mengi, moja tuu.
Labla hapa utaelewa.
Siyo Cucurella? Amekubali kuzungushwa zungushwa na assist ikatokea upande wake?Leo mlikuwa mnakufa mshukuruni Caicedo kawasaidia kupata sare
Chelsea wako nyumbani WANAPAKI BASI!Kama haujaangalia mechi unaweza ukaamini vitu vingi kweli kweli.
Chelsea alipaki basi. Relied on break offs, long balls na counters. Maresca alijua anachotaka akaweka wachezaji wana pace ili kuenforce hili.
Bahati mbaya Estevao kwa sasa hana tofauti na Antony ila ilibidi aexploit weaknesses za Calafiori kumuacha peke yake mara nyingi.
Goli walilofunga Chelsea ni timu chache sana zisingefungwa, Gods of football made sure Arsenal concede set piece halafu Arsenal ipate goli la open play.
Notice jinsi hakuna anayelalamikia tena set piece goals.
Notice hakuna anayesema Cucurella ni best LB. Cucurella hajawahi kukutana na Arsenal akaperform, sasa subiri mechi mbili zijazo wataanza upya.
Notice hakuna anayesema Caicedo ni best DM. Hiyo title wamempa Reece. But what did he do? Timu ina possession ya 30% what was he doing?
As of now mtu wa 8 ana chance ya kumtoa Chelsea alipo kuliko Chelsea kumtoa aliye nafasi ya 1. But they don't see this, inanikumbusha Manchester alivyofungwa moja wakasema ila tumecheza vizuri ligi ijiandae. Same vibes hapa.
Arsenal kacheza domestic cups, FA na Carabao na Ligi, kacheza UCL na kapoteza game 1 kasuluhu 3. "Tutakutana March" "Tutakutana March" si tukutane sasa au?
Na wale wa manjesta 🤣🤣🤣Mashabiki wa Madrid na wa Chelsea wakigundua wanazidiwa hoja kimbilio lao linabaki kukumbushia historia.