Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama haujaangalia mechi unaweza ukaamini vitu vingi kweli kweli.

Chelsea alipaki basi. Relied on break offs, long balls na counters. Maresca alijua anachotaka akaweka wachezaji wana pace ili kuenforce hili.
Bahati mbaya Estevao kwa sasa hana tofauti na Antony ila ilibidi aexploit weaknesses za Calafiori kumuacha peke yake mara nyingi.

Goli walilofunga Chelsea ni timu chache sana zisingefungwa, Gods of football made sure Arsenal concede set piece halafu Arsenal ipate goli la open play.

Notice jinsi hakuna anayelalamikia tena set piece goals.

Notice hakuna anayesema Cucurella ni best LB. Cucurella hajawahi kukutana na Arsenal akaperform, sasa subiri mechi mbili zijazo wataanza upya.

Notice hakuna anayesema Caicedo ni best DM. Hiyo title wamempa Reece. But what did he do? Timu ina possession ya 30% what was he doing?

As of now mtu wa 8 ana chance ya kumtoa Chelsea alipo kuliko Chelsea kumtoa aliye nafasi ya 1. But they don't see this, inanikumbusha Manchester alivyofungwa moja wakasema ila tumecheza vizuri ligi ijiandae. Same vibes hapa.

Arsenal kacheza domestic cups, FA na Carabao na Ligi, kacheza UCL na kapoteza game 1 kasuluhu 3. "Tutakutana March" "Tutakutana March" si tukutane sasa au?
 
Chelsea wako nyumbani WANAPAKI BASI!
WANAFURAHIA DRAW!
ARE THEY A SMALL TEAM IN DISGUISE?!
 
Vp suala la kunitajia kombe moja la nje ya UK limefikia wapi mkuu?
 
Run it back

Arsenal vs City. Kila mtu akasema Arsenal kadominate game. Possession Arsenal 67% na City 33%

Chelsea vs Arsenal. Possession Chelsea 32% na Arsenal 68%. Safari hii tunasema Arsenal kacheza hovyo.

Why? Same stats, same results. Kwanini safari hii tunaona Arsenal kacheza hovyo?

Ni kwakua kila mtu aliamini Arsenal anatakiwa kushinda. Hata mashabiki wa Chelsea wanajua hivyo ndiyo maana wanaona Arsenal imecheza vibaya.

Game against United.

Manchester possession 61% na Arsenal 39%. Matokeo Arsenal kashinda ila wote tukasema Arsenal kacheza hovyo. Why? Coz wote tunaamini Arsenal anatakiwa kuifunga united goli zaidi ya 1.

So, hapa ndipo watu wanajisahau.

Standards.

Mechi ya jana ingekua United kachukua nafasi ya Arsenal United ingesemwa imecheza vizuri. Coz everyone believes United are shitty but siyo Arsenal.

Siku hizi pundits wanaihukumu Arsenal kwa shots on target, siyo kupoteza mechi.

Everyone believes Arsenal inatakiwa kuifunga Chelsea, kutoifunga ndiyo yanazalishwa haya mastori ya uongo
 
Huko unamuonea sana mwambie ataje tu usiku wa UEFA mmoja ambao unabaki kwake kama kumbukumbu nzuri au unaokaribiana tu na nyakati kama hizi:
Chelsea vs Bayern (UEFA)
Chelsea vs Man city(UEFA)
Chelsea vs PSG . (Fifa )
Chelsea vs Arsenal (Europa )

2005/2006 mourinho kaja kachukua league.
2009/2010 Ancelotti kaja kachukua league
2014/2015 karudi mourinho kachukua league
2016/2017 kaja conte kabeba league .
Miaka yote hio Arsenal anajenga team mpaka leo 😂😂
Hy fainali ya Europa tuliyompiga 4-1 ndio usiku wao wa kukumbukwa 😂 mana hajawahi kufika fainali yoyote ya maana
 
Vp suala la kunitajia kombe moja la nje ya UK limefikia wapi mkuu?
Nje ya UK Arsenal imeshinda makombe ambayo hayana umuhimu kama hilo la Club World Cup. Ninaweza nikakutajia ila itakua haina maana.

Umefurahi au una spinning mpya?
 
Arsenal huwezi kubishana na chelsea mtu pekee ambaye arsenal anaweza kubishana naye labda Tottenham , ambaye anaweza kukunyamazisha na europa yake.

Timu pekee ambayo matokeo yake kutabiri huwa ni ngumu sana ni chelsea haijalishi anakutana na team gani kubwa yoyote vile, historia inaonyesha chelsea always ni kubwa kwa team yoyote ile mfano
Chelsea vs bayern 2012
Chelsea vs real madrid 2021
Chelsea vs man city 2021
Chelsea vs barcelona (mara kibao sikumbuki ni lini barca amemfunga chelsea zaidi ya ile game ya kubebwa 2007)
Juzi tu hapa chelsea vs PSG (PSG iliyoshindikana chelsea amejipigia kama mlevi). Final ipi chelsea kaacha kombe?
Chelsea haijawahi kuwa kibonde kwa team yoyote duniani.

Arsenal vibonde wa wengi bayern kajipigia sana , barca ndo usiseme messi anajipigia tu goli 4 nakuendelea, furaha yenu kubwa ni UEFA ni kumfunga real madrid
Walikuwa na mdomo vibaya na propaganda nyingi ili tuwaone ni timu tishio mara ooh Chelsea wamesogeza mabango ili wasiwe wanarusha vizuri Baada ya game kuisha wamekaa kimya Kama sio wao PSG kwenye ubora wake kabisa kakandwa vizuri tu yeye nani? Team zinakuwa Bora ikiwa haujakutana na Chelsea na hapo Palmer hajacheza kabisa, sisi tumemkosa beki wetu Bora kabisa Colwil na still matokeo tunapata
 
Nje ya UK Arsenal imeshinda makombe ambayo hayana umuhimu kama hilo la Club World Cup. Ninaweza nikakutajia ila itakua haina maana.

Umefurahi au una spinning mpya?
Sitak ngonjera, taja kombe moja
 
Msimu huu hakuna kubottle mzee usinambie huyu City anayefungwa na Newcastle mbovu pamoja na kuhenyeshwa na Leeds kwao ndo atutoe nafasi ya kwanza.
Nyie hiyo March sijui mtakuwa wapi maana mshaanza kubattle top 4 mnalingana point na Villa. Wa sita mnamwacha pointi 2. Pointi tulizowaacha ni nyingi kuliko tofauti yenu na timu ya 11. Kama kilichowafurahisha ni draw na Arsenal sawa ila tofauti na hapo mmeenda nafasi mbaya zaidi. Ubingwa hata msiupigie hesabu.
Kwani na nyie arse8 asaniWali munaupigia hesabu ubingwa???
 
Hongera gunners, wiki ilikuwa na mechi ngumu mno, spurs, Bayern Munich, Chelsea...
Siyo timu nyingi zingeiweza .
Kweli siyo kweli?!
Sasa nimeelewa. Jana was a worse performance kwa upande wangu. Arsenal uwe pungufu isikukalie kooni. Lkn jana walikuwa wapo wapo tu.
 
Tukubali tu kwamba sisi arse8 tulitegemea kushinda Jana baada ya red card ya Caisedo lakini hawa Chelsea wametu surprise kweli kweli.
 
Mara nyingi sisi arse8 huwa tunacheza pira la mdomoni, ukija ground tunatapata tuu
 
We're loosers, Gaygooners fc, false hopers ...Sisi arse8 ni fungu la kukosa siku zote ..

Mtoto wangu anatimiza miaka 20 hajawahi kuona arse8 ikibeba EPL wala UEFA au hata EUROPA ..hii ni aibu kweli kweli ..
tunabeba tu vikombe vya mbuzi ..huu ni ulofa wa hali ya juu.
 
Timu kama Chelsea ya juzi juzi tu hapo ..2005 hivi ina makombe yote ya ulaya na dunia kwa ujumla.

Ila hii Arse8 a.k.a AsaniWali ni mwendo wa kununua magarasa kutoka Chelsea na kununua wachezaji kwa hela za mafungu.

Hatuna kingine tunajua kabisa..

Huyu Chelsea atatu surprise musimu huu
😩😩😂😂😩
 
Back
Top Bottom