Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta kuhusu Piero Hincapie na Cristhian Mosquera:
"Wote wawili wana uwezekano mkubwa wa kucheza dhidi ya Chelsea, Piero amecheza kama beki wa kushoto pia, ambayo ni chaguo jingine tunalo kuhusiana na mpinzani, mchezo, na hali ambayo wachezaji wako."

IMG-20251130-WA0004.jpg
 
Washika mishale nyie kila mwaka Dec huwa mnaongoza ligi
Hamna team yyt
Liverpool ni mabingwa
Nani sasa hayaogopi majogoo?
 
Hehehe leo CB partnership mpya imezaliwa. The only reason am not worried ni kwavile Chelsea hua siihofii. Hata tuchezeshe U18
 
Saliba, Gabriel majembe yetu leo hayapo lakini kenge lazima zishikishwe adabu

Kenge hawezi kuifunga arsenal hii
Screenshot_20251130_183057_FotMob.jpg
 
Forwards leo inabidi ziwe serious. Wascore zaidi ili kuwapa relief defense.

Piero siyo kibonde. Leverkusen inachukua ubingwa amecheza msimu mzima, Mosquera pale Valencia alikua anazima namba vizuri tu na juzi Kane alipigwa man marking hadi akakosa shot on target.

So hii partnership siyo ya kinyonge.
 
Kukulela haitakuja kutokea amfiche star boy SAKA,

Kukulela ameshakula njano kwa kumchezea foul saka, dakika ya 11
 
Mvunja kuni kafanya kazi yake. Akitoka hapo unaambiwa ni best dm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom