Tunaangalia mkuu achievement ndio ina matter na jumapili nakukandaKukusaidia.
Chagua tuongelee makombe au tuongelee nilichouliza?
Tunaangalia mkuu achievement ndio ina matter na jumapili nakukandaKukusaidia.
Chagua tuongelee makombe au tuongelee nilichouliza?
Baada ya kumfunga Chelsea, mkapata kombe gani?Enhe anza
Tunaangalia achievement? Kwa unavyoona achievement yenu ni kuifunga Arsenal J2?Tunaangalia mkuu achievement ndio ina matter na jumapili nakukanda
Tuanzie mwaka gani?Baada ya kumfunga Chelsea, mkapata kombe gani?
Leta Mwaka wako na mm nije na mwaka wangu?Tuanzie mwaka gani?
Mmewapiga Barca mmekua na jeuri mnakuja kutishia kila mtu. Siyo?Leta Mwaka wako na mm nije na mwaka wangu?
Next ni arsenyetoMmewapiga Barca mmekua na jeuri mnakuja kutishia kila mtu. Siyo?
ngoja ushangazwe leo.Arsenal tukikoswa sana ni goli mbili!
Msimu uliopita mlitufunga lakini tukabeba makombe mawili conference cup na kombe la Dunia la vilabu we ukaishia kushika nafasi ya pili ya ligi nani ambaye ana mafanikio? Na hapo tulikuwa tupo kwenye phase ya kujijenga tuTunaangalia achievement? Kwa unavyoona achievement yenu ni kuifunga Arsenal J2?
Sio Barca tu sisi tunapiga timu yoyote inayoonekana zinazosumbua team nyingine mfano mzuri PSG tulimgeuzs kama BurnleyMmewapiga Barca mmekua na jeuri mnakuja kutishia kila mtu. Siyo?
Lile kombe la dunia la vilabu mbona ni kama Audi cup la Spurs. Conference ni kombe la kiboya kutokana na timu unazokutana nazo kule. Hata FA lina timu ngumuMsimu uliopita mlitufunga lakini tukabeba makombe mawili conference cup na kombe la Dunia la vilabu we ukaishia kushika nafasi ya pili ya ligi nani ambaye ana mafanikio? Na hapo tulikuwa tupo kwenye phase ya kujijenga tu
Mmepigwa na Manchester mbovu, mmepigwa na Sunderland iliyopanda daraja kisha unasema mnapiga timu yoyoteSio Barca tu sisi tunapiga timu yoyote inayoonekana zinazosumbua team nyingine mfano mzuri PSG tulimgeuzs kama Burnley
Wewe tulikutana ueropa league nikakukanda 4 safi kabisa we mara ngapi umeingia ueropa league na umeshindwa kuchukua? Sifa ya team yoyote haijalishi upo kombe gani lakini unatakiwa udeliver kwa kumpata kombe ndio maana tumeweka record ya kuwa team ya Kwanza kuchukua makombe yote ya ulayaLile kombe la dunia la vilabu mbona ni kama Audi cup la Spurs. Conference ni kombe la kiboya kutokana na timu unazokutana nazo kule. Hata FA lina timu ngumu
Mi mwenyewe Arsenal lakini leo tunafungwa... Wale Bayern wanatufunga vizuri tu.. wakitukosa sana goli mbilingoja ushangazwe leo.
Game ya man u nikwasababu ya red card yamapema ndio ilituua pamoja na huyo red tulitoa ushindani as if tupo 11 na ukitaka kuona kuwa wamebahatisha si watakuja darajani utaonaMmepigwa na Manchester mbovu, mmepigwa na Sunderland iliyopanda daraja kisha unasema mnapiga timu yoyote
Mkuu Maresca ni masterclass huwa kwake kila game na approach yake na ndio maana tulivyocheza dhidi ya PSG ni tofauti na tulivyocheza na Barca na spurs pia tulivyomkanda pale pale uwanja wake.ndio maana team zingine watuambia huwa hatutabilikiChelsea wakicheza na sisi kama walivyocheza na Barca wanakufa tena tano
Tulikutana FA ukapasuka. Ni kweli, kila kombe mtu unatakiwa kukomaa. Sasa kile kikosi cha fainali ya Europa ni kikosi kizazi cha nyoka.Wewe tulikutana ueropa league nikakukanda 4 safi kabisa we mara ngapi umeingia ueropa league na umeshindwa kuchukua? Sifa ya team yoyote haijalishi upo kombe gani lakini unatakiwa udeliver kwa kumpata kombe ndio maana tumeweka record ya kuwa team ya Kwanza kuchukua makombe yote ya ulaya