Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa hivi kila mmoja anaona City ilifanya uamuzi sahihi kupaki basi
 
Ndiyo nikasema Chelsea akicheza kama alivyocheza jana anakufa tano tena
Mkuu Chelsea ni mwanaume asiye tabilika huwa tunacheza kulingana na mpinzani alivyo nakuambia hivi jumapili mtatupa heshima
 
Bado sitaki kUshangilia saaana!
Bado hatujatwaa kikombe cha aina yoyote!
Ila inshallah
C O Y G
 
Arsenal sheria yetu msimu huu ni rahisi sana, ukikaa nyuma tutakufunga kwa set pieces na ukijifanya unajua sana kutushambulia ndo tutakuua kabisaa tutakufunga kwa set pieces na kwenye open play, kwaio mtachagua wenyewe mnatakaje 😂😂😂
Msitoe siri wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom