Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,625
- 77,869
KAtika harakati za kutuzuia Arsenal kuchukua ubingwa tushagewa red za kishenzi dhidi ya Wolves na City. Sikuambii matokeo nenda kaangalieGame ya man u nikwasababu ya red card yamapema ndio ilituua pamoja na huyo red tulitoa ushindani as if tupo 11 na ukitaka kuona kuwa wamebahatisha si watakuja darajani utaona