sijasema Bayern wabaya, ila kwa timu yetu ya sasa Bayern hawana timu ya kutufunga tukiamua hiyo game tuichukue kweli pale emirates af hincapie si umemuona juzi ulimiss uwepo wa gabriel pale af pia hao bayern kashacheza nao sana akiwa leverkusen, af na we mwenyew umesema apo sisi tunachez kama unit huoni ni point hiyo na inatupa favor Arsenal dhidi yao ambao wao kuna muda individual brilliance ndo iamue matokeo, sitakatai wana forward nzuri lakini ukuta wao unavuja na wanaruhusu sana tena magoli ya ajabu na timu ndogo wanashinda mechi zao ndio lkn sio kwa dominance ile kama zamani walivokuwa, ila sisi Arsenal tunacheza kwa muundo na interchange ya wachezaji wetu ni ngumu kuzuia mana tunakuwa na rythm ambayo inachosha opponents mentally na saiv tunachz kwa intensity ya juu kwa dk zote 90 yani saiv tuna muundo tuna chemistry na tactical discipline ya hali ya juu.. TUKISEMA TUICHUKUE KWELI HIYO GAME BAYERN HATOKI SALAMA PALE EMIRATES.