Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,879
Nyie mna timu nzuri sana mkuu, lakini consistency au mfululizo wa kushinda mechi Hadi mechi mpk ligi iishe ndio kitu mnakosa.Hata km ni ushabiki kuna muda tujaribu kuwa logical, sisi ku draw na Sunderland kwako unaona tayari bingwa Man city ! kwanini bingwa hukusema liverpool au timu yako au hata Chelsea aliye nafasi ya pili au sunderland aliye nafasi ya nne? ukamtaja city kwa kudhani utawatisha Gooners, aisee mbongo ni mtu hatari sana kwenye mambo negative,
Mko top lkn wasiwasi upo kulingana na mpinzani wenu city.
Hakuna bingwa nje ya city au arsenal japo percentage rate kubwa ipo Kwa man city