Hizi takataka mwaka huu naona kama wanaeleweka.🤣🤣🤣 Bagabeach nahisi utakua mgeni na Arsenyau, Ni rahisi Sunderland kushinda ligi msimu huu kuliko Arsenyo, Arsenyau sio timu ya kuitilia maanani sana linapokuja suala la kubeba makombe, Arsenyau chini ya Tetea kiwigi misimu yote hua wanaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Washawahi kuongoza ligi siku 258 halafu zimebaki siku 17 ligi iishe wakatupa taulo chini.
Hawa Evra aliwafananisha na Netflix, wazee wa next season kila msimu.
#Arsenyau fungu la kukosa.
🤣🤣🤣 Bagabeach nahisi utakua mgeni na Arsenyau, Ni rahisi Sunderland kushinda ligi msimu huu kuliko Arsenyo, Arsenyau sio timu ya kuitilia maanani sana linapokuja suala la kubeba makombe, Arsenyau chini ya Tetea kiwigi misimu yote hua wanaishia kua wapenzi wasindikizaji.
Washawahi kuongoza ligi siku 258 halafu zimebaki siku 17 ligi iishe wakatupa taulo chini.
Hawa Evra aliwafananisha na Netflix, wazee wa next season kila msimu.
#Arsenyau fungu la kukosaok
Bila kumsahau Estevao Willian ..ni moto fire 🔥 😍 😫nafurahia uwepo wa gyokeres, na jinsi timu nzima inavyo saka magoli.
ila huyu halaand, kane na mbape hawa ni majini.
Bingwa man city, arsenal ndio basi tena... project yenu inazeeka bila kombe, na project ya man city inakaribia kuiva, man u inakuja, Chelsea anakuja, Liverpool yupo vizuri ni kocha tu....kocha emery yupo sokoni, arteta mzuri lkn Kwa makombe badoToka waanzishe hili jukwaa lao hili (2006) hawajawahi kuchukua EPL. Maana yake katika umri wa miaka 20 ya jukwaa lao hili hawajawahi kupost hapa kombe lolote la maana.
Kuna mjinga bado anaita hii ni timu kubwa.
Hata km ni ushabiki kuna muda tujaribu kuwa logical, sisi ku draw na Sunderland kwako unaona tayari bingwa Man city ! kwanini bingwa hukusema liverpool au timu yako au hata Chelsea aliye nafasi ya pili au sunderland aliye nafasi ya nne? ukamtaja city kwa kudhani utawatisha Gooners, aisee mbongo ni mtu hatari sana kwenye mambo negative,Bingwa man city, arsenal ndio basi tena... project yenu inazeeka bila kombe, na project ya man city inakaribia kuiva, man u inakuja, Chelsea anakuja, Liverpool yupo vizuri ni kocha tu....kocha emery yupo sokoni, arteta mzuri lkn Kwa makombe bado
Upo serious unategemea Arsenal kubeba kombe?!Hata km ni ushabiki kuna muda tujaribu kuwa logical, sisi ku draw na Sunderland kwako unaona tayari bingwa Man city ! kwanini bingwa hukusema liverpool au timu yako au hata Chelsea aliye nafasi ya pili au sunderland aliye nafasi ya nne? ukamtaja city kwa kudhani utawatisha Gooners, aisee mbongo ni mtu hatari sana kwenye mambo negative,