Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Subir, hamtoamini.
20251123_222637.jpg

Hii pazia tutaisogeza kama ya gesti.
 
Kumbuka this time mnakutana na mabingwa wa dunia, hvy itakuwa n jambo la furaha sana kwenu kupata hy bahati
Itakuwa busara mkiweka Mpira kwapani siku hiyo ili ihesabike mmechakazwa magolo 3-0, kuliko kushupaza shingo ndani ya dakika 90 mkachapika pasina huruma.

Kwa arsenal hii mpinzani hana budi kuingia mtini Ili kukwepa dhahama mkuu.
 
Nilikuwa nawaza pia kupoteza dhidi ya chelsea nadhani ilikuwa kipindi cha Tuchel, meanwhile Arteta kapoteza mechi mbili tu dhidi ya chelsea, lampard 2-1, Tuchel 2-0, naona wakicheza kwa kujitahidi sana km ile mechi waliyomfunga liverpool kwetu watapata draw, na hii ni sababu ya home advantage, km mechi ingekuwa Emirates ningetia laki kwa Arsenal sasa hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom