Niwakumbushe tu Liverpool waliwahi kumbeba Andy Caroll.View attachment 3462446🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Japo wana historia yakubeba striker wazuri ila wasubiri kwanza afanye jambo nao ndio waanze kumuimba.
Niwakumbushe tu Liverpool waliwahi kumbeba Andy Caroll.View attachment 3462446🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Wanajua kubadilisha mada hawa, utasikia net spending... na blah blah nyingine kama hizo ili kumtoa kiwigi kwenye lawama.Mikel Arteta has now spent over €1 BILLION as Arsenal manager and has only one FA Cup to show for it. 😠😡
Nyama zipo chini, tuendelee kula mtori ,,,,next phase
Hapa wenye kazi madaktari wa liver siyo sisiView attachment 3462446🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
wirtz bila kai ni maisha bila mudaGerman bila king kai sio germanView attachment 3465638
Tacticos humu waligoma kwamba Zubimendi hatoboi first 11Backbone ya spain inaundwa na arsenal midfieldersView attachment 3465640
jichanganyeni kuachana na Arteta muone kama hata top four mutaambuliaKama Arsenal tutapata kocha mwenye akili timamu basi kombe la maana lazima tubebe.
Ila kama huyu mjuaji basi tumuombee tu ujinga wake umtoke.
Haya ndio mawazo finyu ambayo hata wanachama wengine wa vyama pinzani walikuwa wanayaamini.jichanganyeni kuachana na Arteta muone kama hata top four mutaambulia
Hawajiamini kabisa hawa wasengerema. wkt mpk sasa washindi ni wao sijui wanahangaika nini!WAHUNI WAMETUFUNGIA MTANDAO WETU PENDWA
Arsenyani mubebe kombe mulipeleke wapi!!?. kumaliza runners up ni ubingwa tosha kwenuHaya ndio mawazo finyu ambayo hata wanachama wengine wa vyama pinzani walikuwa wanayaamini.
Kipindi cha Wenger hizi kauli zilikuwa zinasemwa sana hatimae hadi akaipeleka timu shimoni.
Arsenal kuwa top4 sio mafanikio kwa shabiki hayo ni mafanikio kwa tajiri maana yanamuingizia pesa.
Mafanikio pekee kwa shabiki ni timu kubeba makombe.
Au sio.Arsenyani mubebe kombe mulipeleke wapi!!?. kumaliza runners up ni ubingwa tosha kwenu
Tulia weweNyie vilaza hatutaki leo visingizio vy game la mapema.View attachment 3471044