kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,817
- 20,801
Nilisema mapeema kabisa !!!! Nyie ni madudukweMna uhakika martineli na madueke wanawapa pwenti 3 mbele ya majogoo ? Hamko serious nyie !
Zubimendi aanze kujadiliwa kiwango chake ama hajazoea ligi tusubiri ?
Nenda kacheze wewe Ili iwe nzuri ulivyo rofa hata danadana 5 huwezi kupiga sisi tunachojua szobslai kapiga bonge la GoriMechi mbovu Mzee, wewe hujui kitu. Nazungumzia level ww unawaza point Nani asiyejua kuwa Liverpool imeshinda?, level ilikuwa chini kabisa.
Hahah nilidhani najadiliana na sportsmen kumbe shabiki maandazi ambaye hajui kitu hahah nilikosea Bana kukujibu, Haya tufanye umeshinda.Nenda kacheze wewe Ili iwe nzuri ulivyo rofa hata danadana 5 huwezi kupiga sisi tunachojua szobslai kapiga bonge la Gori
We ndio shabiki maandazi nenda kacheze wewe kama ni rahisiHahah nilidhani najadiliana na sportsmen kumbe shabiki maandazi ambaye hajui kitu hahah nilikosea Bana kukujibu, Haya tufanye umeshinda.
.Huyu kipa wetu fala sana
Kepa huyu huyu ama mwingine, Raya still ni kipa bora epl , punguza hasiraKepa ni golikipa mzuri sanaaa kuliko Raya
Nipo mkuu , tunahangaika kuweka mambo sawa pale st james kidogo . Mwaka huu transfer imekua ngumu sana kwetu ila mwishoni vijana wanakuja. Nimefurahi kukuona umerudi kwa notification ya eze , hope na mwenyekiti atarudi sijui na notification gani maana ya kombe haitakuepoHahaha yule jamaa wa Newcastle yupo?
False hopers banaππ leo raya kafanya kosa gani sasa?? Mnatafuta kumuangushia jumba bovu jamaa wa watu kwamba ile free kick kepa angedaka .Nadhani Kepa apewe nafasi, Raya hana nidhamu, ni kipa mzuri lakini anarudia makosa yanayotucost kila siku, hivi ajiulizi kwanini Ramsdale aliondolewa? anadhani Ramsdale alikuwa kilaza?
Which world???πππ ila wajinga mnamikwara sana daahThe world is not ready for this!View attachment 3456218View attachment 3456220View attachment 3456221
Arsenal haijawahi kuwa The mighty, katika mechi kama hizi points 3 ni muhimu zaidi kuliko chochote ndo tofauti kati false hopers and champions inavyoonekana .Mechi haikuwa na maajabu yoyote
expected philosophy wanasema,
Liverpool (0.34) 1 - 0 Arsenal ( 0.39)
so the free kick changed everything
lakini im hurting cus timu yangu ina capability ya kuonesha zaidi ya tunachokionesha sasa,
Arsenal ni ya kutengeneza threat ya 0.39 kwenye dakika 90 kweli? kwa mechi ile ilivyokuwa wazi hii ndio threat anayopose The Mighty Arsenal? Ni lini our attacking dynamics will pose enough threats? ndio maana nasema kwa sasa Eze gives me hope.
Umeongea pointi nyingi sana ila hili ndio linanikera zaidi. Over coaching bila sababu zinatucost sana.Ujuaji wa coach
πππππππArse8 fungu la kukosaKops Saint Anne, Captain Marvelous, The MoNA, Bristolian, Msela Wa Kitaa, Grau, Manyanza tuna kibali cha kunya m**vi kwenye huu uzi wa Arsenyani kwa muda wa siku 100. You'll never walk alone kopites