Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eze akija anakuja kuchukua namba ya Martinell & Trossard
Aje kumpa ushindani Odegaard. RCM au LCM panamfaa zaidi ila nasema RCM ili awe na Rice kama LCM wake. LW nasikia anaiweza vizuri tu ila katikati ndiyo kwake zaidi.

Hata hivyo, wachezaji huwa wanabadilisha namba mara kibao tu. Sikuwahi kudhani kama Ashley Young atakuja kuwa beki. Rice mwenyewe katoka kuwa CB mpaka DM na kwetu sasa ni LCM...
 
Wapinzani wajiandae kunyeshewa mvua za magoli😅View attachment 3419797
Ni mawazo yangu tu, ila nafikiri ujio wa huyu jamaa kwetu ndio umempa presha Isak na kumfanya atake kuwaacha akina Labyrinth 84 na kukimbilia Liverpool.

Pamoja na kuwa huwa wanacheza wote kwa Sweden, ila Isak anaweza kuwa na wasiwasi wa kupitwa na Gyokeres kama chaguo la kwanza kwenye nafasi ya striker kwenye timu ya taifa. Pamoja na mafanikio mengine atayopata na Liverpool kwa kucheza na akina Salah na Gakpo, hili la timu ya taifa, huku kuna kombe la dunia mwisho wa msimu, naliona kama ni moja ya sababu kwa Isak kwenda Liverpool.
 
Huwa mashabiki wa Arsenal mna namna yenu ya kuwaza, wakati nyie mnawaza anamkimbia Gyokeres, yeye mwenyew isak mawazo yake ni tofauti.
FB_IMG_1753595892874.jpg
 
Huwa mashabiki wa Arsenal mna namna yenu ya kuwaza, wakati nyie mnawaza anamkimbia Gyokeres, yeye mwenyew isak mawazo yake ni tofauti.View attachment 3420184

Jamaa katushushua balaa kiaina 😀😀😀

Inaonekana wazi kuwa anaogopa Gyökeres atamshinda kufunga magoli hivyo anaenda kutafuta supply nzuri kule Liverpool. Ila ana hoja aisee. Liverpool wako karibu zaidi kushinda Champions League kuliko sisi.
 
Mashabiki wa Arsenyau banaaa kwa kupeana false hope hawajambo, yaani wanajisahaulisha kabisa kua alishindwa kuwapea Epl Van Persie akiwa amezungukwa na kina Fabregas, Rosicky, Samir Nasri, Theo Walcott, Adebayor, Aubameyang, Arshavin, Alex Song, Jack Wilshere, Santi Cazorla, Mesut Ozil na mafundi kibao halafu wanajiaminisha Gnyokores atawapea Uefa na Epl msimu huu akiwa kazungukwa na kina Madueke na Martineli.
images-37.jpg
 
Naona kama vile arteta ameanza kumkataa odegard kiaina hivi au ni mimi tu na akili zangu finyu
 
Naona kama vile arteta ameanza kumkataa odegard kiaina hivi au ni mimi tu na akili zangu finyu

hakuna mchezaji wa aina yake pale arsenal labda arteta awe ana badilisha mifumo pale anapomkosa ndipo wacheze wengine.
 
Back
Top Bottom