Hakuna team nyingine zilikuwa zinamtaka tofauti na nyie na manyumbuSiyo kwamba tulikuwa wenyewe tunaomtaka. Tulimtaka wengi ila yeye alikomaa kuwa anataka kuja kwetu tu, hivyo wengine wote, mfano Manchester United, wakajikuta hawana nafasi ya kumchukua.