Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

chat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt

inatabiri crown arsenal
chatGpt yenyewe inatambua kuwa Arteta ni mkali wa mbinu, master tactician the world has ever seen, that's why inapoongea ubora wa Arsenal inaleta mambo kama tactical flexibility, tactical twist na vitu kama hybrid system
 
Nimesoma sehemu, Arsenal ameisharudi pesa za manunuzi ya Gyokeres kupitia mauzo ya jezi yake
Nadhani ni watu wanaongeza chumvi kidogo.

Jezi ya Gyökeres imevunja rekodi ya mauzo, haswa ndani ya muda mfupi.

Ila, Arsenal wametoa ofa nzuri ya kuprint jina na number ya Gyökeres bure kwa anayetaka jezi ya jina hilo. So wateja wanazirukia sana kwa hiyo offer, haswa mashabiki walioko Sweden.

Pia, Adidas ndiyo wanapiga karibia mshiko wote (sijui ni 94%- kuna haja ya kuthibitisha). Asilimia inayobaki Arsenal haiwezi kutosha kurudisha hela ya kumnunulia mchezaji.
 
matokeo vipi gunners wenzangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naskia Nyokores amepiga hatrick, hawa wahuni badala ya kusajili mchezaji wameenda kusajili bouncer.
Nyokores ni black version ya Adama Traore.

FT
Spurs 1-0 Arseyau
Mgoli wa video katikati ya uwanja.
1753971534090.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom