[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimamo wa ligi 2025/2026Tutapiga kila atakaesimama mbele yetuView attachment 3420849
Ukisikia utani wa ngumi, ndiyo mambo kama haya sasa 😀 😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimamo wa ligi 2025/2026
1.
2. Arsenyo
3.
4.
5.
6.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Msimamo wa ligi 2025/2026
1.
2. Arsenyo
3.
4.
5.
6.
Oya hamis umemuacha wapi!!?? Njooni nyote muda wenu unakaribia1. Arsenal
2.
3.
4
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15. Nyumbu
16.
17.
Tutapiga kila atakae simama mbele yetu alafu kombe tutawapa nyumbu
Mchambuzi nguli mbona yupo sana na safari hii mfanye nae mazungumzo ya amani mapema.Oya hamis umemuacha wapi!!?? Njooni nyote muda wenu unakaribia
Flano mzee wa kufukua makaburi, naomba umtumzie mkorea hii risiti. Ili mda wa kuwakera ukifika, wakumbushwe kupitia kauli zao za vituko kama hii post ya mkorea.Tutapiga kila atakaesimama mbele yetuView attachment 3420849
Ndio kawaida yakeNaona unampa material maktaba kuu Flano.
chat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt1. Arsenal
2.
3.
4
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15. Nyumbu
16.
17.
Tutapiga kila atakae simama mbele yetu alafu kombe tutawapa nyumbu
Mpira ni mchezo wa wazi mkuu na Hauhitaji ramli au tabiri za wanajimu wakuambie kwamba msimu huu arsenal ni shidachat gpt anajaribu kuchambua mambo kuna namna admin wa chat gpt ni arsenal fan au hujamaa mkorea ndio anaiendesha chat gpt
inatabiri crown arsenal
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni kweli kabisa ndugu yangu mkorea Mpira ni mchezo wa wazi na wala hauhitaji ramli au tabiri za wanajimu wakuambie msimamo wa ligi 2025/2026 utakua kinyume na hivi.Mpira ni mchezo wa wazi mkuu na Hauhitaji ramli au tabiri za wanajimu wakuambie kwamba msimu huu arsenal ni shida
View attachment 3421694
Mkuu umekuja kufanya nini katika huu uzi 😂😂😂Hatimaye arsenyeto mmepata bahati ya kushuhudia medali ya kombe la dunia 😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usisahau na kombe lao la Pre-season tayari wameshabeba, hivyo Tetea Kiwigi hana deni lolote kwa mashabiki wa Arsenyau.Arseanal wajanja sana, yaani wao ukishachukua medali za makombe mbalimbali basi wao wanakuchukua kidogo waweke kwenye kumbukumbu zao...washachukua madueke na CWC medal, harvets na uefa medal, Glock na Portugal medals, zubmend na uefa nation league medal.
Oya arteta akili sana, arteta akili mingi mingi
COYG[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Usisahau na kombe lao la Pre-season tayari wameshabeba, hivyo kina Tetea Kiwigi hawana deni lolote kwa mashabiki wa Arsenyau. View attachment 3423088
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamis77 anakwambia kwa sasa yuko bize sana na taasisi yake ya Masingeli Integrated Investment Co. LTD
😂😂😂 Arsenal inadhihirisha uwepo wa Mungu...yaani jamaa Wana furaha na makombe hawachukui, Mungu kawabariki mioyo ya ajabu sio kama sisi binadam wa kawaida[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamis77 anakwambia kwa sasa yuko bize sana na taasisi yake ya Masingeli Integrated Investment Co. LTD
Unaweza kumuona yupo online kumbe anayeendesha akaunti ni Secretary au Supervisor wake.
Kwa sasa mwamba yuko bize sana na majukumu ya kujenga Taifa [emoji23][emoji23][emoji23]
Anasema kwa sasa hili jukwaa amewamilikisha chawa zake mkorea na arsenal2004 waendeleze false hope.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hilo mashabiki wa Arsenyau kwa kweli tuwape maua yao, hawa jamaa wana mioyo iliyoshiba matumaini.[emoji23][emoji23][emoji23] Arsenal inadhihirisha uwepo wa Mungu...yaani jamaa Wana furaha na makombe hawachukui, Mungu kawabariki mioyo ya ajabu sio kama sisi binadam wa kawaida