Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
imemuuma sana aseeeHii imekuuma, sio kwa kujieleza huku
imemuuma sana aseeeHii imekuuma, sio kwa kujieleza huku
Timu gani kubwa ilimtaka ikamkosa ? Mnashangilia vita ya peke yenu ! Huyu ni flop wa EPL,,,, ! Goals 40+ anazofunga ureno utadhani atazifunga EPL ? Huyu ni version ya kina Clavert wa Everton au kina Wissa wa Brentford !Hii imekuuma, sio kwa kujieleza huku
Hapo umeongea football,,, usajili ni betting ! Wacha tuoneMwamba ametua na tunatamba nae usajili ni kubet mkuu
Wewe hukumbuki Mo Salah na De Bryune walivyofloap Chelsea wakahamia ligi ya Ujurumani na baadae wakarudi Uingereza wakiwa wa Moto.Timu gani kubwa ilimtaka ikamkosa ? Mnashangilia vita ya peke yenu ! Huyu ni flop wa EPL,,,, ! Goals 40+ anazofunga ureno utadhani atazifunga EPL ? Huyu ni version ya kina Clavert wa Everton au kina Wissa wa Brentford !
We aliekwambia hizo timu zilikua na uhitaji wa straika ni nani?Huyu victor umri umeenda
Alishafeli epl way back huko.,,,,
Huyu ni farmers league player
Tofauti na utd inayojitafuta, ni timu gani kubwa ilimtaka ikamkosa ? i .e Madrid, barca, Bayern, PSG, liver, city ??? Mlikuwa kwenye race peke yenu mkampata,,,,,,
Mngempata Sessko hapo ndo ingekuwa sawa !
Huyu ni version ya kina Nunes wa liva,,,,
Tupo hapa, tutakuwepo !
Kwakua ni Arsenal ndio maana mnaongea yote hayo.. Ingekua Man U mngekua mnasifia au sio 😂Timu gani kubwa ilimtaka ikamkosa ? Mnashangilia vita ya peke yenu ! Huyu ni flop wa EPL,,,, ! Goals 40+ anazofunga ureno utadhani atazifunga EPL ? Huyu ni version ya kina Clavert wa Everton au kina Wissa wa Brentford !
Liver, PSG wote wanahitaji striker! Liva wakaangukia kwa Hugho, PSG nadhani wako kuangalia talented mdogo wa kudumu mda mrefu, Goncalo Ramos ni kama hajamshawishi Enrique, Chelsea pia walikuwa na uhitaji wakaangulia kwa Delap na JoaoWe aliekwambia hizo timu zilikua na uhitaji wa straika ni nani?
Mpumbavu kweli wewe.,,,, usikariri maisha , kwa hio mfano wa mo na Kevin ndio huo pekee umechukulia sio ! Ishu yenu nyie kelele nyingi mwisho msimu mnakunja mkia matakon kama mbwa asie na matunzo,,,,, ! Mnaona kama mmeshinda vita ya Victor kumbe mlikuwa wenyewe, pamoja na kuongezewa beiWewe hukumbuki Mo Salah na De Bryune walivyofloap Chelsea wakahamia ligi ya Ujurumani na baadae wakarudi Uingereza wakiwa wa Moto.
Shida yenu mashabiki mandazi hamjui Mpira mnachojua ni kubwabwaja tu maneno
Kwahiyo hao uliowataja kwa mujibu wako ni bora zaidi kuliko Glock?Liver, PSG wote wanahitaji striker! Liva wakaangukia kwa Hugho, PSG nadhani wako kuangalia talented mdogo wa kudumu mda mrefu, Goncalo Ramos ni kama hajamshawishi Enrique, Chelsea pia walikuwa na uhitaji wakaangulia kwa Delap na Joao
Kwani we ulitakaje.. hebu toa maoni yako tukuelewe!Mpumbavu kweli wewe.,,,, usikariri maisha , kwa hio mfano wa mo na Kevin ndio huo pekee umechukulia sio ! Ishu yenu nyie kelele nyingi mwisho msimu mnakunja mkia matakon kama mbwa asie na matunzo,,,,, ! Mnaona kama mmeshinda vita ya Victor kumbe mlikuwa wenyewe, pamoja na kuongezewa bei
Tunazungumzia ubora ama ? Usajili ni kitu kingine na matokeo ya huo usajili ni kitu kingine! Point yangu ni kuwa mnaona kama mmeshinda vita ya kumpata Victor kumbe mlikuwa wenyewe, hakuna timu kubwa iliyomhitaji ikamkosa ! Ni kama kujitekenya na kucheka mwenyewe !Kwahiyo hao uliowataja kwa mujibu wako ni bora zaidi kuliko Glock?
Mchezaji mwenyewe tayari alishasema anataka kwenda Arsenal na walai sio timu nyingine ndo maana timu nyingine hazikushughulika naye.Mpumbavu kweli wewe.,,,, usikariri maisha , kwa hio mfano wa mo na Kevin ndio huo pekee umechukulia sio ! Ishu yenu nyie kelele nyingi mwisho msimu mnakunja mkia matakon kama mbwa asie na matunzo,,,,, ! Mnaona kama mmeshinda vita ya Victor kumbe mlikuwa wenyewe, pamoja na kuongezewa bei
Huyo Arne Slot Hana lolote alikuta Liverpool iliyojengwa na Klopp muda mrefuView attachment 3415632
Quality coach ??? Na akamchagua Arteta .
Wait until you give Master Arne Slot a Guard of honour ndio akiki zitakukaa sawa.
Mpumbavu kweli wewe.,,,, usikariri maisha , kwa hio mfano wa mo na Kevin ndio huo pekee umechukulia sio ! Ishu yenu nyie kelele nyingi mwisho msimu mnakunja mkia matakon kama mbwa asie na matunzo,,,,, ! Mnaona kama mmeshinda vita ya Victor kumbe mlikuwa wenyewe, pamoja na kuongezewa bei
Sasa we usichotaka ni sisi kufurahia usajili wetu au we unataka vipi?Tunazungumzia ubora ama ? Usajili ni kitu kingine na matokeo ya huo usajili ni kitu kingine! Point yangu ni kuwa mnaona kama mmeshinda vita ya kumpata Victor kumbe mlikuwa wenyewe, hakuna timu kubwa iliyomhitaji ikamkosa ! Ni kama kujitekenya na kucheka mwenyewe !
So sad tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu haheshimu mawazo ya binadamu mwengine.. sasa kama Slot ni kilaza asiseme!?😁View attachment 3415632
Quality coach ??? Na akamchagua Arteta .
Wait until you give Master Arne Slot a Guard of honour ndio akiki zitakukaa sawa.
So sad ndio nini???So sad tunaishi kwenye dunia ambayo binadamu haheshimu mawazo ya binadamu mwengine.. sasa kama Slot ni kilaza asiseme!?😁