King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Mpira wa sasa unaitaji mchezaji mwenye mapenzi ya kweli na club, mie kama mwana man u nilikasirishwa na hijacking waliyofanya kwa gyokeres ambae alisisitiza toka mwanzo kuja arsenal.Kakubali katoa sehemu ya mshahara wake ili dili litimie
Changuo lake namba 1 hadi namba 5 ni arsenal tu. Nyumbu akatia pua yake akakataliwa live. He only wants to play for arsenal
Ameshinikiza Sporting cp ili dili lake likamilike, aligoma kurudi kwenye club
Wakala wake nae kakubali kupunguza kamisheni yake kisa dili likamilike