Dah ila wamiliki wa Arsenal wanazingua Sana man , yaani sikutarajia galasa kama Madueke auzwe faster vile na kwa bei ile , hawa wamarekani kuna biashara chafu wanaweza kuwa wanafanya nyuma ya paziaTupooooo 😂🤣, wamiliki wa winga MADUEKE 😂🤣
EHH, mungu nipe uhai na afya nzuri nione vituko vya arteta na madueke wake .😂🤣