HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Ni wachezaji wazuri mno mno.Ebu ondoa ushabiki ebu niambie kwa maana ya uwezo binafsi Caicedo au Joao Pedro ni wachezaji wabaya?
Ni wachezaji wazuri mno mno.Ebu ondoa ushabiki ebu niambie kwa maana ya uwezo binafsi Caicedo au Joao Pedro ni wachezaji wabaya?
Kwa maana hy arsenyeto hamtokaa mcheze conference na Kombe la dunia?Sasa makombe ya kichovu hayo mnaita mafanikio? Conference sisi hatukuweza kushiriki kwa sababu ni la hadhi ya chini sana hata kushiriki tulishindwa kwa sababu tulimaliza nafasi ya pili na kuingia UCL. Hilo world cup kila mtu anajua ni kombe la watakatishaji fedha wa uarabuni na marekani.
500m kwa mlichopata, sisi ile 65 tu mliyotupiga kwa Havertz, achana na hao wahuni wengine mliotuuzia, imezaa matunda ya maana kuliko hivyo vijikombe uchwara vyenu.
Tukishuka kiwango na kumaliza nafasi za nje ya top 5, then ndiyo kuna uwezekano wa kucheza conference league. Ni mpira tu huu na hatuwezi kujua ya mbele. Nyie hamkufikiri kuwa litakuja kutokea kwenu ila limetokea na mkatoka na kombe hilo kabisa, hivyo hatuwezi kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.Kwa maana hy arsenyeto hamtokaa mcheze conference na Kombe la dunia?
Uzuri ni kwamba dunia mzima inafahamu Chelsea ndio timu bora duniani kwa miaka minne, haya em tuambie nyie nyetos mnajulikana na chama gn hata hapo UK.?
Pia kiwango chenu kikishuka mtacheza kombe la dunia 😂Tukishuka kiwango na kumaliza nafasi za nje ya top 5, then ndiyo kuna uwezekano wa kucheza conference league. Ni mpira tu huu na hatuwezi kujua ya mbele. Nyie hamkufikiri kuwa litakuja kutokea kwenu ila limetokea na mkatoka na kombe hilo kabisa, hivyo hatuwezi kutukana mamba kabla ya kuvuka mto.
Mioyo jiwe😂😂😂Wazee wa moyo mgumu
HakikaMioyo jiwe😂😂😂
Ndio ujue kwamba sisi sio wa kupigwa Bali Brighton ndio chimbo letu zuri la bidhaa tunazohitajiNi wachezaji wazuri mno mno.
Pamoja na kuwapasua umebeba kombe gani la maana msimu huu?Manjesta na chelkenge's wameona humu ndio pakuja kutikisa wowowo zao, ligi ikianza ni kuwapasua tu
Ebu kuwa na heshima dogo sema Mabingwa wa dunia wa clubManjesta na chelkenge's wameona humu ndio pakuja kutikisa wowowo zao, ligi ikianza ni kuwapasua tu
Wakikujibu hao Madueke Efusiii, unitagPamoja na kuwapasua umebeba kombe gani la maana msimu huu?
Kaingia mitiniWakikujibu hao Madueke Efusiii, unitag
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hio hio timu aliyorithi Mikel Arteta kutoka kwa Unai Emery ndio iliyompatia Arteta the one and only trophy katika maisha yake ya ukocha, Kiwigi kabeba FA Cup 2020 kwa kikosi chote cha Unai Emery baada kumfunga Chelsea kwenye fainali.Hii ni timu aliyorithi Mikel Arteta kutoka kwa Unai Emery afu unamfananisha na Slot aliyerithi timu ya klopp ikiwa na Van dijk, Trent, Konate na Mo salah, ukumbuke misimu miwili mbele mwamba akaingia kwenye title contention na monster Pep Guardiola akiwa na peak squad iliyochukua treble, ukisema Arteta mjuaji, ofcoz ni mjuaji sababu kweli anajua.
Huenda Maresca akabadili mambo zaidi. Tatizo lenu siyo kuwa na wachezaji wabovu. Mmekuwa na wachezaji wazuri tangu enzi za Potter. Nakumbuka mimi mwenywewe nilikuwa naamini Potter atafanya makubwa sana na kile kikosi ila hakuweza na mmeendelea hivyo mpaka kumpata Maresca. Pia mmekuwa na majeruhi kwa wachezaji wazuri kama Nkunku.Ndio ujue kwamba sisi sio wa kupigwa Bali Brighton ndio chimbo letu zuri la bidhaa tunazohitaji
Madueke Efusiii tena? Yaani hata heshima ya jina hamtupi? Ligi ianze tu tuendelee kuwashushia vichapo ili muendelee kutamba na vikombe.Wakikujibu hao Madueke Efusiii, unitag