Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,485
- 2,754
Madueke ni takataka utapeli mwingine Arteta anauendeleza.
Kitakachomfelisha arteta ni hiyo tabia yake ya ujuaji.Tatizo la arteta mjuaji sana anajikuta tayari Guardiola yaani too many unnecesary experiments. Usishangae hata akamuweka LB au CAM!!
Hakuna aliyechagua mwaka shida yako unataka kubisha kushindana. Ndio maana nikakwambia kaa na misimamo yako.Upinzani upi ulianza miaka? nyie wa juzi au umesahau recently mmetuletea takwimu kwamba mnaongoza kwa makombe karne ya 21? kwenye game tupo long time since the days of Chapman & Graham, ukitaka tuongee upinzani usichague miaka, kipindi chapman analeta WM timu yako ilikuwa wapi? that's a rivalry
Makombe mawaili yapi? Huyu angekuwa first 11 kila mechi tusigefika kokote aisee too selfish player sehemu ya kutoa pasi ya bao anafosi yeye ukimyima pasi ukafunga wewe haji kushangilia ananuna puuzi kabisa hii alafu huwa hicho ni kiburi habadiliki kuna mechi alikuwa anagombea kupiga penalt yeye na takataka nyingine jackson wakati wote wanajua utaratibu mpigaji penalt ni palmerSasa mchezaji hajacheza hata mechi moja ya Arsenal unamwita Galasa??, angekua galasa angewasaidia chelsea kubeba makombe mawili. Kwanza chelsea wamefanya fear kbs, winga teleza ile ilitakiwa auzwe £100m.
Asante sana kwa kuona hilo.Tatizo la arteta mjuaji sana anajikuta tayari Guardiola yaani too many unnecesary experiments. Usishangae hata akamuweka LB au CAM!!
Madueke mashine ya kazi wewe, Kama ni mchezaji Arsenal wamepata. Nitumie fursa hii kuwapongeza Arsenal wamepata winga machachari sana. Kile kitambaa cheusi tu ndicho kinachomtofutisha na prime Mess, ila ni mess mtupu.Makombe mawaili yapi? Huyu angekuwa first 11 kila mechi tusigefika kokote aisee too selfish player sehemu ya kutoa pasi ya bao anafosi yeye ukimyima pasi ukafunga wewe haji kushangilia ananuna puuzi kabisa hii alafu huwa hicho ni kiburi habadiliki kuna mechi alikuwa anagombea kupiga penalt yeye na takataka nyingine jackson wakati wote wanajua utaratibu mpigaji penalt ni palmer
Timu iliyoshinda makombe mengi karne ya 21 maana yake mnajichagulia miaka ya ku define mafanikio, Kwanini msitafute takwimu za timu iliyoshinda makombe mengi kwa muda wote?Hakuna aliyechagua mwaka shida yako unataka kubisha kushindana. Ndio maana nikakwambia kaa na misimamo yako.
Hii ni timu aliyorithi Mikel Arteta kutoka kwa Unai Emery afu unamfananisha na Slot aliyerithi timu ya klopp ikiwa na Van dijk, Trent, Konate na Mo salah, ukumbuke misimu miwili mbele mwamba akaingia kwenye title contention na monster Pep Guardiola akiwa na peak squad iliyochukua treble, ukisema Arteta mjuaji, ofcoz ni mjuaji sababu kweli anajua.If you survived this you are a true Arenal fan
C&P
Kwani wewe karne ya 21 umeshinda makombe mangapi?Timu iliyoshinda makombe mengi karne ya 21 maana yake mnajichagulia miaka ya ku define mafanikio, Kwanini msitafute takwimu za timu iliyoshinda makombe mengi kwa muda wote?
miaka 40 jangwani ilikuwa hii. Uzuri ni mbele kulikuwa na Aubameyang akiibeba Arsenal mgongoni kama kobe.If you survived this you are a true Arenal fan
C&P
Leteni 65 hiyo ,ikichelewa bei inapanda mpaka 85 , 😆😆😆😆😆😆😆 straika machachari kama Wakojacko ni adimu 😀😀😀😀😀[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mganga wa Chelsea ni kiboko, kuna tetesi zinaagaa kwa kasi kua Nyumbu tunamtaka Nicolas Jackson, utashangaa tunaingia kichwakichwa tunagongwa £65m na tunatoa.
Nyumbu na Arsenyashi kwa Chelkenge ni kama tu mbwa mbele ya chatu.
Huaga tunajipeleka wenyewe huku mkia tumeubana matter konny.
Kuna beki kitasa Ben Chillwell ,tunaweza wapa bure piaKuna utakatishaji fedha na dili mbovu hawa wamarekani wetu na wa chelkenge wanafanya. Haya mambo hayaingii akilini.
Tuwaombee tu mema Noni na Kepa
Tupooooo 😂🤣, wamiliki wa winga MADUEKE 😂🤣Wapiga nyeeeto efusiii , mupooooo ? , aka kubwa jinga la London
Ninyi ni wachumba tu ,hamna ubavu wa kupambana na majike shupa ya timu ya wanawake ya pale Stamford Bridge ,acheni kujitoa ufahamu ,yaani Chelsea ni serial winners timu ya wanawake na wanaume ,timu yetu ya wanawake msimu huu ulioisha wamebeba trebble yaani vikombe vitatu , imagine . Ninyi timu yenu ya wanawake ni kubinua makalio tu uwanjaniLitapigwa 433 moja matata lenye Olivia, Russo na Kelly pale mbele. Yale mabio yao hakuna beki atakayoyaweza. Nyuma yao Mariona akipenyeza through balls kama Xavi... wapinzani wameisha aisee.
Na Galasa Aka pazia la Ngorika Kepa ArizabaraggaKwahyo ni kweli tumenunue ile mbuzi Madueke.
Serious kabisa au bado ni tetesi tu.