Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio ujue kwamba sisi sio wa kupigwa Bali Brighton ndio chimbo letu zuri la bidhaa tunazohitaji
Huenda Maresca akabadili mambo zaidi. Tatizo lenu siyo kuwa na wachezaji wabovu. Mmekuwa na wachezaji wazuri tangu enzi za Potter. Nakumbuka mimi mwenywewe nilikuwa naamini Potter atafanya makubwa sana na kile kikosi ila hakuweza na mmeendelea hivyo mpaka kumpata Maresca. Pia mmekuwa na majeruhi kwa wachezaji wazuri kama Nkunku.

Sisi mmetupiga hela kizembe kwa kututupia wachezaji wenu hovyo, ila hao hao wachezaji, kwa miujiza flani, tumeweza kufanya nao mambo makubwa kuliko uwezo wao.
 
Mmefanya Mambo makubwa Kama yapi? Mbona unanichekesha
 
Mmefanya Mambo makubwa Kama yapi? Mbona unanichekesha
Nafasi ya 2 misimu 3 mfululizo. Msimu uliopita tumetolewa UCL kwenye hatua ya nusu fainali. Haya ni mafanikio makubwa kimpira kuliko UEFA Conference league na hata CWC. Asikudanyanye mtu yeyote kuwa Conference league title ni kubwa kuliko hizo za Arsenal.

Kijana wa miaka 16 aliye na Div 3 form 4 si sawa na kijana wa miaka 16 aliyefanya mitihani ya darasa la saba na kuwa kinara wa darasa hilo.
 
Tuna-test mitambo
1000444384.jpg
 
Nafasi ya 2 msismu 3 mfululizo. Msimu uliopita tumetolewa UCL kwenye hatua ya nusu fainali. Haya ni mafanikio makubwa kimpira kuliko UEFA Conference league na hata CWC, asikudanyanye mtu yeyote kuwa Conference league title ni kubwa kuliko hizo za Arsenal.

Kijana wa miaka 16 aliye na Div 3 form 4 si sawa na kijana wa miaka 16 aliyefanya mitihani ya darasa la saba na kuwa kinara wa darasa hilo.
Kwahiyo hayo kwenu ndio mafanikio kwa team ambayo mshajipata basi mnasafari ndefu sana
 
Madueke Efusiii tena? Yaani hata heshima ya jina hamtupi? Ligi ianze tu tuendelee kuwashushia vichapo ili muendelee kutamba na vikombe.
Usiishi kwa mazoea blaza, shauri yako! Jua mnaenda kukutana na Bingwa wa vitimu vyote vya hapa duniani. Usiseme sijakutahadharisha. Muulizeni mbabe wenu PSG
 
Kwa sababu Victor tunashindwa kumnunua ndo maana hela inaniuma. Bila hivyo hata wangetoa zote me sina shida
Unafikiri Arsenal hawana hela y kumnunua Gyokeres , sema anachofanya Arsenal ni utoto, ameshajua mchezaji mawazo yake yote yapo Arsenal ndio mana hajishuhulishi kubagain, mana wametofautiana buku jero tu, sasa Arsenal wanashindwa kutoa hiyo buku jero kweli?
Ni sawa na msela kuzimikiwa na Mtoto mkali, hutumii pesa nyingi na wala hubembelezi sana.
 
Back
Top Bottom