Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,145
- 4,292
Liva akichukua anamtambia mtani wake everton man city akichukua anamtambia UNited ila sisi na nyie ni wa mji mmoja tukichukua lazima tuwatambie alafu kingine hakuna mwanaume anaetmanani mwanamke mgumba ambae hazai yani kutamani chelsea iwe kama arsenal ni jambo ambalo haliwezekani makombe ni matokeo ya project project ya miaka 6 bila kombe ni sawa na kuishi na mke miaka 6 bila mtoto je wewe utakubali uwe arsenal?Yupo sahihi mnaiweka sana kichwani. Mngekuwa hamtuwazi kusingekuwa na haja ya kuzurula humu toka jana.
Liva na City wakichukua kombe wanatulia makwao ila nyie sasa. Hizo ni dalili za inferiority. Kama unajua utaonekana tu ila sio ulazimishe kujadiliwa
