HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Bora uone boli kali la Slegers huku ukiwacheki kina Kelly na Walti na vibukta vyao vidooogooo, kuliko kucheki boli kali la Arteta lenye akina Madueke na Kepa? 😀 😀 😀Bora nishangilie wanawake, soka zuri na vikombe, hata tukifungwa nitaona watoto wazuri.
Huku kwa kina madueke, napumzika kidogo 😂🤣